Tupunguze utoto kwenye katiba mpya

Tupunguze utoto kwenye katiba mpya

Tatizo lako unadhani aliyepost hapa ni kiazi/mburula. Ninaandika ambacho nakijua na hata niko tayari kukitetea kwa hoja mbele za watu. Nina uhakika wewe utaishi kusema kuwa ni nzuri sana, na kwenye hivyo vipengele ambavyo ni vya hovyo utaishia kusema vitafanyiwa marekebisho baadaye. Kumbuka hatuandiki katiba ya ccm bali katiba ya WATANZANIA

Hayo maneno ya kiazi, mburula ncjui umetoa wapi men? Katiba ya wananchi na sio ya UKAWA wala CCM subiri kura tu ikipita au isipopita ndo utajua!
 
mimi siyo mdogo wako, ila ni mwalimu wako. TENA WEWE si ajabu ukawa uko kwenye payroll, maana unatetea hata vitu vya ajabu ajabu, achana na mimi. mimi sio mjinga kama wewe ambaye unatetea nchi kuibiwa na mafisadi

Mpaka unajua mambo ya payroll utakua mmojawao wewe!Nchi kuibiwa na mafisadi akina nani hao?kama mliokuwa mnawatuhumu wamehamia kwenu kwa kishindo kikuu???Ufisadi unapimwa kwa kipimo gani?
 
unaonesha jinsi gani ulivyo mjinga, Je, Jaji Warioba ni UKAWA, Prof. Kabudi ni UKAWA, Mzee Butiku ni UKAWA? Sio kila anayepinga ujinga wako ni UKAWA, wengine hawana vyama, wengine ni wanaCCM, wengine ni UKAWA, MIMI sipo UKAWA ila naungana na wazalendo kupinga uzezeta wa godoro. Yaani umeonesha udhaifu mkubwa sana wa kujenga hoja, kumbe ukishindwa unaanza kubambikia watu majina. Ndiyo nyie hata kwenye uchaguzi mkishindwa hoja mnaanzakupakazia wenzenu kuwa sio raia.
 
Hayo maneno ya kiazi, mburula ncjui umetoa wapi men? Katiba ya wananchi na sio ya UKAWA wala CCM subiri kura tu ikipita au isipopita ndo utajua!
ilipitishwa na wanaCCM, hivyo ni ya CCM, tena CCM yenyewe ni ile ya wenye chama, kama utakumbuka mmoja wao alisema kama hiyo isipopitishwa ataenda msituni, bahati mbaya ameshalala tayari kabla ya kwenda msituni. Na aliungwa mkono na wenye chama, maana hakukemewa kwa uchochezi ule. Read it between lines, you will understand my message. We have no other option other than getting back to Mzee Warioba's Draft
 
Mkuu jambo ni rahisi tu kama kitu unakipinga kuna njia unafanya,uzuri ridhaa ya Katiba hiyo ni kura, subiri tu ikipita sawa, isipopita igweeee!!!
 
Kumbe hata mchakato huwa haufuatilii kwa umakini, isipopita itapitishwa.Hivi kumbe hata maana ya goli la mkono huwa hulielewi, goli la mkono ni lazima ili kulinda maslahi ya wenye chama. Kumbe umesahau BMK hata marehemu walipiga kura. kuhusu kupita Ondoa shaka itapita tena kwa kishindo. But the cry for constitution reform will continue untill the wananchi const is written
 
Mkuu kwani huelewi nini kuna kura ya ndiyo na Hapana!Hizo nyingine ni hisia zako tu, timiza wajibu wako kupiga kura!
 
Haya ni maneno ya watu waliokosa hoja, Je, nawe ni miongoni mwao? huyo unayemtaja ananihusu nini, nawe ana kuhusu nini? Na katika mjadala huu wa katiba mbona yeye na wewe mko kundi moja la ndiyo ni nzuri bila hoja. Halafu uadui kati yako na yeye umeanza lini? Umemtaja hapa, Je, unafahamu hajawahi changia hoja katika post hii? Huyo mwekezaji amefikaje fikaje katika mnakasha huu? au ndiyo kusema waliokutuma sasa wameanza wamekuaagiza kurusha mawe hovyo hovyo. NCHI HII NI YETU SOTE, USIJIFANYE WW NDIYE MWENYE HATI MILIKI
Nenda kaungane na wenzio UKAWA kula hela za mwekezaji
 
unaonesha jinsi gani ulivyo mjinga, Je, Jaji Warioba ni UKAWA, Prof. Kabudi ni UKAWA, Mzee Butiku ni UKAWA? Sio kila anayepinga ujinga wako ni UKAWA, wengine hawana vyama, wengine ni wanaCCM, wengine ni UKAWA, MIMI sipo UKAWA ila naungana na wazalendo kupinga uzezeta wa godoro. Yaani umeonesha udhaifu mkubwa sana wa kujenga hoja, kumbe ukishindwa unaanza kubambikia watu majina. Ndiyo nyie hata kwenye uchaguzi mkishindwa hoja mnaanzakupakazia wenzenu kuwa sio raia.

Wewe unakimbia kivuli chako hakuna aliyekuwa anapinga ufisadi na kuwachukia mafisadi kama Dr.Slaa, Lema,Lisu,Mbowe,Sugu,Mch.Msigwa na UKAWA wote leo wako wapi?kwani wewe ni nani?Endelea kulala usingizi wenzio wanakula mpunga
 
Haya ni maneno ya watu waliokosa hoja, Je, nawe ni miongoni mwao? huyo unayemtaja ananihusu nini, nawe ana kuhusu nini? Na katika mjadala huu wa katiba mbona yeye na wewe mko kundi moja la ndiyo ni nzuri bila hoja. Halafu uadui kati yako na yeye umeanza lini? Umemtaja hapa, Je, unafahamu hajawahi changia hoja katika post hii? Huyo mwekezaji amefikaje fikaje katika mnakasha huu? au ndiyo kusema waliokutuma sasa wameanza wamekuaagiza kurusha mawe hovyo hovyo. NCHI HII NI YETU SOTE, USIJIFANYE WW NDIYE MWENYE HATI MILIKI

Mkuu najua umeshapata mgao wako mtaa wa ufipa hapo!
 
Back
Top Bottom