Kinjekitile junior
JF-Expert Member
- Apr 20, 2015
- 4,404
- 581
Tatizo lako unadhani aliyepost hapa ni kiazi/mburula. Ninaandika ambacho nakijua na hata niko tayari kukitetea kwa hoja mbele za watu. Nina uhakika wewe utaishi kusema kuwa ni nzuri sana, na kwenye hivyo vipengele ambavyo ni vya hovyo utaishia kusema vitafanyiwa marekebisho baadaye. Kumbuka hatuandiki katiba ya ccm bali katiba ya WATANZANIA
Hayo maneno ya kiazi, mburula ncjui umetoa wapi men? Katiba ya wananchi na sio ya UKAWA wala CCM subiri kura tu ikipita au isipopita ndo utajua!