#COVID19 Tupuuze uzushi wa Mitandaoni, Tanzania hatuna Corona - Prof. Mchembe

Kule kwetu Ukimwi ulipoingia wazee hawakuuita moja kwa moja Ukimwi badala yake wakiita "Ugonjwa wa Bara" maana ugonjwa uliotoka Tanzania bara, ilikuwa mtu akifa kwa huo ugonjwa walikuwa wanasema kafa kwa ugonjwa wa Bara, mpaka leo hii hutumia neno hili ili kuficha ukali wa ugonjwa wa ukimwi, wengine walikuwa wakiita "ugonjwa wa sasa" wengine utaskia kafa kwa huu "ugonjwa ulioingia".

Nadhan sasa tufike mahali na hii corona nayo tuipe jina la ugonjwa wa "ukosefu wa kupumua" au mara chache tuite "homa ya Nyumonia" tufiche yale makali kama mhe Waziri nitakuwa nimemfahamu vizuri hapo juu.
 
Huenda hapa Tanzania kuna maprofesa huwa wanapigwa miti kimasihara sana.

Yaani katikati ya vifo na mateso yanayotokana na maambukizi ya Corona hapa Tanzania halafu kuna mtu anasema Tanzania hakuna Corona! How?
Akili yote ya nchi hii iko controlled na mtu moja... Hiyo ndiyo awamu tuliyopo!!
 
Natamani huyo Prof akambusu mgonjwa mmojawapo anayesema ana matatizo ya mfumo wa upumuaji alafu atupe majibu baada ya siku nne tuuu 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣
Siasa wakati mwingine ni aibu iliyopitiliza.
 
Kwa hiyo wale watanzania waliokwenda kutafuta chanjo ya corona wakatuletea corona ile haikuwa corona? .
 
Ujinga
Mjinga tu huyo, eti tupuuze ili kuwaondoa watu hofu, yaani syo tupuuze na kuchukua hatua za kujikinga.
Rubbish statement
 
Anayasema hayo kwakuwa yumo ndani ya mfumo, nje ya mfumo na hasa akipoteza ndugu wa karibu atajutia maneno yake
 
Hawa maprofesa wa CCM mpya nani aliyewaroga?
 
Huenda hapa Tanzania kuna maprofesa huwa wanapigwa miti kimasihara sana.

Yaani katikati ya vifo na mateso yanayotokana na maambukizi ya Corona hapa Tanzania halafu kuna mtu anasema Tanzania hakuna Corona! How?
Hawa watu wana laana kubwa sn ningekuwa MUNGU ningechapa na huu ugonjwa yeye na familia yake mpaka akili zirudi
 
Professor Mchembe hapa alidharirisha elimu yake ili kumridhisha Dikteta mjinga mmoja
 
We mpumbavu uliandika haya kabla mungu wenu wa Chato haijamchukua 17/03/21.
 
Professor Mchembe hapa alidharirisha elimu yake ili kumridhisha Dikteta mjinga mmoja
Ikowapi hiyo corona sasa? Pro. alikuwa sahihi, corona ilikuzwa mno zaidi ya uhalisia, wengi waliokufa kwa magonjwa mengine walikuwa labeled wamekufa kwa corona. Walizuia dawa zote (mf ivermectin) ambazo zingesaidia ku surpress sars cov 2 virus infection ili corona ikuzwe, kama siyo usanii ni nini? Yote hiyo ili kutenegneza taharuki ili walete chanjo za mNRA ili agenda yao itimie.
 
Kwangu Prof na Hayati ni mashujaa kwa nchi yetu kwa jinsi walivyopambana na ugonjwa huu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…