#COVID19 Tupuuze uzushi wa Mitandaoni, Tanzania hatuna Corona - Prof. Mchembe

#COVID19 Tupuuze uzushi wa Mitandaoni, Tanzania hatuna Corona - Prof. Mchembe

Si kuna kile kipimo kipya walichogundua wachina ni geniune kabisa wawapime tu wagonjwa na wanaosema hakuna huu ugonjwa tusibitishe
 
so muongo nani yy au wanaozika kila siku na kutoa tahadhari kwa wananchi?ingekuwa tupo kwny list ya nchi zinazopambana kutafuta chanjo na kutengeneza vifaa ningekuamin prof bt nje ya hapo I don trust maprof wote nawaona akili zao ni Kama za yule prof wa majalalani tu
 
Huyu anaongea ujinga gani wakati ndugu yangu jana amekufa kwa sababu ya kukosa mashine ya kupumulia baada ya kubanwa kifua ghafla
 
Kiukweli wewe ni mburura. Yawezekana wewe ndiyo MAGUFULI
Wewe acha kutupigia kelele hapa sisi!

Nenda kajifungie wewe na familia yako siku ukisikia corona imeisha kabisa duniani ndio utoke ndani.
 
Hapa ndio unajua tofauti ya pro-pesa , pro-litics na professor.


Haya tumemsikia

Professors wanaijuwa kuvaa Kombat Vita ikija ndio tunawataka..no easy war bro.

Prof kaweka vitabu vya wazungu pembeni kaingia vitani kwenye applications
 
Kwa akili zako Maalim Sefu angekuwa na Corona angeshika watu mikono na hana musk? Zakuambiwa changanya na zako
Ndio ni akili zangu, wewe ukiwa period usibishane na Mimi maana hio TANGAZO wala sikuandika mimi, sasa hizo genye umezitoa wapi?
 
Ndugu yangu yupo anapumulia machine huko Seriani hospital ARUSHA kisa kushindwa kupumua.

Hako ka nchi ka hovyo sana kuwahi kutokea.
Prof wa Chato anasema ndugu yako atakuwa amepata ajali au ana mafua maana eti dalili za magonjwa hayo zinafanana na zile za magonjwa ya kushindwa kupumua kama ya wale aliowaona wamelazwa Muhimbili na Mloganzila. Huyo naye ana PhD!
 
Ndege wafananao huruka pamoja .JPM kachagua wenzie .Hivi waliofundishwa nae lazima wote ni bogas kabisa kama alikiwa mwalimu wao.Pro political kabisa
 
Yeyote anayekuambia hakuna COVID19 Tz anakudanganya.
KCMC hospitali isolation ward imejaa na tayari wamebadili majengo mengine kuanza kutumika kama isolation ward.
Mgonjwa akifika na dalili za COVID19 madaktari wanaanza kuongea lugha ya malkia na kupeana maelekezo kwa codes za kitabibu.
Hali ni tete sana, na so far kuna kiongozi mmoja mkubwa tuu wa mamlaka ya mapato amelazwa isolation ward.


Chukua tahadhari ujilinde ww na wale uwapendao.
Afya ni bora kuliko tiba.
Mask on
 
Tunaendelea kuweka rekodi sahihi kuhusiana na kila kitu na ugonjwa huu.

Siku ya siku atawajibishwa yeye na vibaraka wake wote.

Habari ndiyo hiyo.
Kati ya nilivyochangia hapa masaa manne yaliyopita, na sasa, nimeshapata taarifa za msiba mwingine wa mtu wangu wa karibu.

Tena kijana tu, wala si mzee.
 
Kati ya nilivyochangia hapa masaa manne yaliyopita, na sasa, nimeshapata taarifq za msiba mwingine wa mtu wangu wa karibu.

Tena kijana tu, wala si mzee.

Bwana yule na vibaraka wake wanaendelea kuwa na mioyo migumu. Vifo hivi wao haviwahusu kwa sababu wana medical facilities ambazo kwetu ni off limit.

Ikumbukwe ugonjwa ni hatari zaidi hasa health services zinapokuwa overwhelmed na wagonjwa wengi.

Itawahusu vipi wale ambao hawawezi kuwa subjected kwenye upungufu wa hizi medical facilities?
 
Bwana yule na vibaraka wake wanaendelea kuwa na mioyo migumu. Vifo hivi wao haviwahusu kwa sababu wana medical facilities ambazo kwetu ni off limit.

Ikumbukwe ugonjwa ni hatari zaidi hasa health services zinapokuwa overwhelmed na wagonjwa wengi.

Itawahusu vipi wale ambao hawawezi kuwa subjected kwenye upungufu wa hizi medical facilities?
Wakati Katibu Mkuu Wizara ya Afya anasema tupuuze uzushi Tanzania hakuna Codona, Waziri wa Fedha kawaambia watumishi wajihadhari na Corona.

Serikali moja hiyo hiyo hata kwenye ujumbe tu inapishana.
 
Zamani nilipokua chalii niliamini maprof ni watu wenye uelewa mkubwa sana na wapo straight kila siku zinavyoenda naona bora hata wale wasiopata Elimu wana uelewa na ufahamu mkubwa kuliko hao.
 
Hebu tuwaachie siasa wenyewe kina Nape. Anasikitisha maana ukweli anaujua lakini afanyaje sasa, ndio ashaingia mkataba na shetani.

Na huko bungeni wanabanana kama kumbikumbi, report tutaanza kuzipata muda si mrefu
 
Hapana shaka huyu jamaa atakuwa Msukuma, these people are shameless
 
Kwa hyo tuache kujifukiza? Maana Jafo kasema tupige nyungu yeye anasema hakuna Corona sijui tumuelewe yupi

Rais anasema korona ipo kidogo sijui nan n mwongo au mkwel kati yao
 
Wakati Katibu Mkuu Wizara ya Afya anasema tupuuze uzushi Tanzania hakuna Codona, Waziri wa Fedha kawaambia watumishi wajihadhari na Corona.

Serikali moja hiyo hiyo hata kwenye ujumbe tu inapishana.

Hatutawasamehe hawa haijali itachukua muda gani wala kama kina sisi tutakuwa tungalipo au hatupo.

Watawajibika wote wao na jamaa zao kikamilifu kwa kila kifo na madhara yake.

Acha wajidhanie wamesimama na kuwa hatuwaoni.
 
Jamani za kuambiwa changanya na zako, kwa ushuhuda mwenyewe wagonjwa ni wengi wa kupumua mimi sisemi ni corona sababu sijui vipimo ila ni wengi. Sasa kiongozi ku stage camera halafu unataka kuonesha hakuna kitu wakati anajuwa kuna kitu haya ni mauwaji ya wazi kabisa. Ogopeni Mungu jamani haya ni mauwaji ya wazi.

Hakuna aibu kusema ugonjwa upo tuchukuweni tahadhari. kitu pekee nawasifu watumishi wa Mahospital wanafanya kazi ngumu wanapokea wagonjwa hawakatai na katika mazingira hatarishi sana sababu serikali inataka kuaminisha kila kitu salama.

Hatari sana hawa viongozi. Kwani nani alisema Hosp wagonjwa wote wa corona? wako tofauti ila kuna hali imezidi ugonjwa sio wa kawaida na wengi wanakuja hali zilizofanana lazima hatua zichukuliwe kulinda wengine.
 
Back
Top Bottom