Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kweli kabisa umesema ,covid 19 ipo na itakuwepo sana hapa duniani pls watanzania tuchukue tahadhali na vaccine ni muhimu kwa kila raiaZa kuambiwa changanya na za kwako...
Sisi hatuna rekodi kwakua hakuna anaepimwa.Na USA wasemeje?
Hao UN wataingilia mataifa mangapi?
Leo Germany wamerekodi vifo 900+ alafu wewe mbugila una zurura kila siku hapo kariakoo unaimba tz kuna corona?
Hivi tz wakifa hata watu 100 kwa covid kila siku watu tutashindwa kujua kweli?Sisi hatuna rekodi kwakua hakuna anaepimwa.
Huyu atakuwa plopreshaDuuh!!!! Huyo ni pro-nn?
SawaKweli kabisa umesema ,covid 19 ipo na itakuwepo sana hapa duniani pls watanzania tuchukue tahadhali na vaccine ni muhimu kwa kila raia
Yeye Mchembe kasema haipo, ndio issueHivi tz wakifa hata watu 100 kwa covid kila siku watu tutashindwa kujua kweli?...