Kite Munganga
Platinum Member
- Nov 19, 2006
- 1,773
- 952
Mbele ya Safari hii kuna watu watajibu taaluma zao walizipatajeHapa ndio unajua tofauti ya pro-pesa , pro-litics na professor.
Haya tumemsikia
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mbele ya Safari hii kuna watu watajibu taaluma zao walizipatajeHapa ndio unajua tofauti ya pro-pesa , pro-litics na professor.
Haya tumemsikia
Subiria yakukute kwanza ukishazoea kuuwa watu watu si kitu kwakoKuna wapuuzi kama maria sarungi,hilda newton na fatuma karume kutwa kuwapa watu taharuki ningependa wangekua wachina saa hii wangeshanyongwa!
watu 100 ni kidogo sana. wanaweza kufa sehem tofauti na lusiwe na coverage.Hivi tz wakifa hata watu 100 kwa covid kila siku watu tutashindwa kujua kweli?
Shughuli za mazishi huko makaburini zimeongezeka kwa kiwango gani? Makaburi mapya yanaongezeka mangapi kila siku kwenye eneo lenu?
Corona ipo lakini si kiwango tunachotka kuaminishana.
idiot. imeandika as Mungu anasikiliza maombi ya watz tu.Mhe. Jafo hakusema kuna ugonjwa wa Corona, hata Waziri wa Afya Mhe. Gwajima hakusema kuna ugonjwa, hata NW wa Afya Mhe. Mollel alisema kujufukiza ipo toka yeye ni mdogo! Wewe kama unaitaka basi Mungu akutandike na uzao na Wazazi wako maana kimtokacho mtu kimeujaza moyo wake.
Eee! Mungu sikia kilio cha Watanzania. Wale wanaosema Corona hakuna na wamekuamini wewe upaaponye. Na wale wasemao ipo achilia mapepo yawatandike ili wajue wewe ni Mungu na hudhihakiwi
Sasa corona haiko hivyo ndugu! Ile ikijikita sehemu inakula kama nzige!watu 100 ni kidogo sana. wanaweza kufa sehem tofauti na lusiwe na coverage.
japo siombei.. ila hao bado sana
huo utafiti kafanyia wapi? methods na publication results ziko wapi?Professor haongei kama kasuku.
Anaongea kwa ushahidi tena wa utafiti uso na chamber ya mashaka.
Wametumwa wangapi? Wangapi wapo salama na tupo wangapi kama nchi?
Wangapi wamekufa as nw
HYU NI PRO-PAGANDA.. 😌Duuh!!!! Huyo ni pro-nn?
not necessary sehem moja. depends imesambaa hadi wapi. si wote watadondoka sehem moja kwa wkt mmoja.Sasa corona haiko hivyo ndugu! Ile ikijikita sehemu inakula kama nzige!
Hapa dar ndio ingekuwa mfano wa hao watu 100 lakini hatuoni.
not necessary sehem moja. depends imesambaa hadi wapi. si wote watadondoka sehem moja kwa wkt mmoja.
Pro-nographyDuuh!!!! Huyo ni pro-nn?
Siyo mtaani. Ndugu zangu 3, wamepoteza maisha kwa hii kadhia.Mtaani kwenu wamakufa wangapi unao wajua kwa Corona?
Kuna vitu munashupalia sijui hata munapata faida gani!
Vp kuhusu idadi ya vifo vinavyotokana na changamoto ya upumuaji huko!?Yeyote anayekuambia hakuna COVID19 Tz anakudanganya.
KCMC hospitali isolation ward imejaa na tayari wamebadili majengo mengine kuanza kutumika kama isolation ward.
Mgonjwa akifika na dalili za COVID19 madaktari wanaanza kuongea lugha ya malkia na kupeana maelekezo kwa codes za kitabibu.
Hali ni tete sana, na so far kuna kiongozi mmoja mkubwa tuu wa mamlaka ya mapato amelazwa isolation ward.
Chukua tahadhari ujilinde ww na wale uwapendao.
Afya ni bora kuliko tiba.
Mask on
Kuharibu huhitaji watu wengi. Mmoja tu anatosha. Ila kujenga unahitaji watu wengi wenye common objective.Mtu mmoja kavuruga vichwa vya wataalamu wote nchini,wote wanasema uongo mpaka kwenye kucha zao sababu ya huyu mtu mmoja
Kwenye hii nchi kwenye medani za siasa,walioko sober na hawadanganyiki na hili limtu ni opposition ya Chadema pekee yake
Bila Chadema nchi hii ungekuta watu wanapewa uji asubuhi mchana na jioni kama mbwa na hakuna wa kuuliza
Hiyo ngoma inapiga zaidi sehemu zenye baridiSasa corona haiko hivyo ndugu! Ile ikijikita sehemu inakula kama nzige!
Hapa dar ndio ingekuwa mfano wa hao watu 100 lakini hatuoni.
Maprofesa wa Tanzania, wengi wao ni hopeless. Ni wanafiki wakubwa. Na wengine hata ukijariliana nao unajua ni low IQ lakini kwa vioe kakaa miaka mingi darasani, anaitwa Professor. Machapisho yao mengi ni nukuu za watu wengine.Zamani nilipokua chalii niliamini maprof ni watu wenye uelewa mkubwa sana na wapo straight kila siku zinavyoenda naona bora hata wale wasiopata Elimu wana uelewa na ufahamu mkubwa kuliko hao.