Turkey, China caught up in SGR tender confusion

Turkey, China caught up in SGR tender confusion

he! hii sio mchezo ..."The Tanzania-Zambia Railway (Tazara) which was built in 1975 is yet to return a profit.". tulilaaniwa kabisa waafrica, management zero, maintanance naught, engineering knowledge zero, economy nunge, progress nada! lessons learnt from past mistakes zilch!
Unaposema waafrika wamelaaniwa, Kenya nao wamo ?
 
he! hii sio mchezo ..."The Tanzania-Zambia Railway (Tazara) which was built in 1975 is yet to return a profit.". tulilaaniwa kabisa waafrica, management zero, maintanance naught, engineering knowledge zero, economy nunge, progress nada! lessons learnt from past mistakes zilch!

Umeniacha hoi kwa huzuni, usiwe unatumia maneno mazito kiasi hicho kuhusu Uafrika.... Mada kama hizi JokaKuu hafai kuwa missing in action.
 
MK254,

..asante kwa kunikaribisha.

..lakini mchango wangu utakuwa mdogo sana.

..kinachotakiwa ni clarity na transparency ktk mradi huu na hatua wanazochukua.

..kama unafuatilia huu mradi unaweza kuchanganyikiwa.

..kwanza kulikuwa na taarifa kwamba RWANDA ndiyo wamepewa jukumu la kuitisha tender ya reli ya dar-isaka-keza-kigali-musongati. Ni reli ya Tz Rw na Br.

..baadaye tukasikia ujenzi umeanza na Kikwete anakwenda kuweka jiwe la msingi. Hatukuambiw mjenzi wa mradi ni kampuni gani wala thamani ya mradi.

..halafu kuna habari ya watendaji wakuu wa shirika la reli kushtakiwa kwa kukiuka taratibu za kutoa tender za mradi huu.

..kwa hiyo mimi hata sielewi nini kinaendelea. Wenye wajibu wa kutoa taarifa kwa umma hawafanyi hivyo kwa wakati. Waandishi wa habari nao sidhani kama wana interest na habari za mradi huu.

..ila RAISI wetu ana uzoefu na masuala haya ya miundombinu. So, hopefully...hopefully, watatupatia reli nzuri na mradi utakamilishwa kwa wakati.
 
Back
Top Bottom