Turky Group of Companies (Vigor) Yachangia Tsh. Milioni 600 Harambee CCM Gala Dinner 2025

Turky Group of Companies (Vigor) Yachangia Tsh. Milioni 600 Harambee CCM Gala Dinner 2025

Stephano Mgendanyi

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2020
Posts
3,119
Reaction score
1,430
TURKY GROUP YACHANGIA TSH. MILIONI 600 HARAMBEE CCM GALA DINNER 2025

Turky Group of Companies (VIGOR) imechangia jumla ya Shilingi Milioni 600 katika Usiku wa harambee ya CCM Gala Dinner 2025 iliyoendeshwa na Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Taifa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan ambaye alizindua harambee hio katika ukumbi wa Mikutano wa Mlimani City Jijini Dar es Salaam

CCM Gala Dinner 2025 ni harambee mahsusi iliyoandaliwa na Chama Cha Mapinduzi
Kwa ajili ya malengo ya kuwezesha utaratibu wa shughuli zote za kampeni Kuelekea Uchaguzi Mkuu Oktoba 2025

Malengo ya Kiasi cha pesa kinachotazamiwa kukusanywa kwa ajili ya uratibu wa shughuli za kampeni uchaguzi mkuu ni kiasi cha Tsh Bilioni 100 ambapo baada ya harambee kukamilika jumla ya Kiasi cha Shilingi Bilioni 86.31 kilikuwa kimepatikana.

Utaratibu wa Kutuma Michango ni Kupitia Mitandao yote ya Simu ambapo
1. Utabonyeza *150*50*1#
2. Utaingiza Control Number C02025
3. Utaweka Kiasi

Kwa watumiaji wa Huduma Za Kibenki utalipia kupitia Account namba 0150001GMMT00 -CRDB Bank
Au Control Number C02025

#KazinaUtuTunasongaMbele #TunazimaZoteTunawashaKijani #NchiImetuliaHatunaDeniNaSamia
#OktobaTunatiki-✅✅
 

Attachments

  • IMG-20250813-WA0033.jpg
    IMG-20250813-WA0033.jpg
    55.1 KB · Views: 40
This is not healthy for our democracy and weak institutions that we have. The government will be in total control of oligarchy
 
Mimi na Lucas wa shamba tunataka kuchangia viazi mbatata, lumbesa mbili zilizojaa.

Tunatumia control number zipi?
 
Wazalendo na wapenda maendeleo tuendelee kuchangia
 
Back
Top Bottom