TURN YOUR LIGHTS DOWN LOW: Nyimbo bora ya muda wote ya hisia Kali za mapenzi

TURN YOUR LIGHTS DOWN LOW: Nyimbo bora ya muda wote ya hisia Kali za mapenzi

Kitu wengi wasichokijua ni kwamba Lauryn Hill ni binamu yake kabisa na Bob Marley. Kitu kingine usichokijua ni kwamba hii ngoma mimi huwa naisiliza mara mbili tu kwa mwezi mzima. Sababu ni nyimbo ambayo naipenda sana na sitaki niichoke na kuizoea.

Sent using Jamii Forums mobile app
Usichokijua ni kua Lauryn Hill alikua MKWE wa Bob Marley kwa maana alizaa na Rohan Marley mtoto wa Bob (walianzana 1996 na kuachana 2009)
 
Mkuu acha tu huyu mwanamama ananikuna sana yani kama angekuwa agemate na namfikia ningeoa kabisa. Ana vocals za hatari sana. Ana nyimbo countless zote za moto sanaa sipati picha mpenzi wake anavyokula raha.

Kibongo bongo nilidhani maua sama anaweza kum mimic vizuri zaidi alianza poa na ile Let them know, akapiga Amen na Ben Pol ametisha sana ila too bad nae kahamia kwenye iokote. Sijui kwanini hatuna one drop beat za sweet reggae bongo.
Mpaka natamani unirushie audio zake mbili

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom