G.Jacob
JF-Expert Member
- Aug 12, 2013
- 3,618
- 3,478
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Usichokijua ni kua Lauryn Hill alikua MKWE wa Bob Marley kwa maana alizaa na Rohan Marley mtoto wa Bob (walianzana 1996 na kuachana 2009)Kitu wengi wasichokijua ni kwamba Lauryn Hill ni binamu yake kabisa na Bob Marley. Kitu kingine usichokijua ni kwamba hii ngoma mimi huwa naisiliza mara mbili tu kwa mwezi mzima. Sababu ni nyimbo ambayo naipenda sana na sitaki niichoke na kuizoea.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hujanijb?Usichokijua ni kua Lauryn Hill alikua MKWE wa Bob Marley kwa maana alizaa na Rohan Marley mtoto wa Bob (walianzana 1996 na kuachana 2009)
Kukujibu nini?
Mpaka natamani unirushie audio zake mbiliMkuu acha tu huyu mwanamama ananikuna sana yani kama angekuwa agemate na namfikia ningeoa kabisa. Ana vocals za hatari sana. Ana nyimbo countless zote za moto sanaa sipati picha mpenzi wake anavyokula raha.
Kibongo bongo nilidhani maua sama anaweza kum mimic vizuri zaidi alianza poa na ile Let them know, akapiga Amen na Ben Pol ametisha sana ila too bad nae kahamia kwenye iokote. Sijui kwanini hatuna one drop beat za sweet reggae bongo.
Hahah ziko hot sana ngoma zake, Alaine! Hili jina lazma nimpe binti yangu mmoja. Ni p.m no. Yako ntakurushia ninazo nyingi