Makonde plateu
JF-Expert Member
- Nov 19, 2022
- 1,443
- 3,480
Unjani sabuwona
Kwa hali niliyoiona jana pale Dodoma kamwe ccm haiwezi kutokana madaraka kwa kutumia ballot box hawa watu wamejipanga kweli kweli kila kitu ni Chao.
Hapa nielewe sijamaanisha itumike violence hapana let make sure that katiba mpya inapatikana soon as possible ili mambo yasiaribike .
Kila kitu kipo kwao polisi ni wao, mahakamani ni wao, timu za mpira wa miguu ni wao and each and everything ni wao this is too much wakuu.
CCM wamehodhi kila kitu mambo yote ni wao vijana wengi vyuoni katika vijana kumi 8 ni ccm mmoja hana chama na mmoja ni upinzani CHADEMA au Act.
Wapinzani mtoke humu mitandaoni sio kupiga kelele mitandaoni fikiria mwananchi wa chini kabisa huko maganzo au nanjilinji ndani ndani huko haijui twitter wala jamiiForum yeye au wao hauwezi kuwaambia chochote kuhusu ccm, ccm ni wao na wo ni ccm.
Nchi haiongozwi kwa kutumia space au club house tu tujitokeze barabarani kutaka katiba mpya.
Join with me kwa maandamano ya amani mpaka ikulu siku ya jumamosi kushinikizwa kwa katiba mpya. Maandamano yataanzia posta kwenye mnara wa askari mpaka magogoni ikulu. Kula, kunywa na matibabu ni juu yangu.
Shalom.