hashycool
JF-Expert Member
- Oct 2, 2010
- 6,555
- 2,837
imeshakuwa kiwingu hapo.....njoo hapa samaki samaki tuanzie safari hapo....ili wanga wajifehemu
hapo matozi wengi....na vile vishankupe vya mlimani vinazengea sana kama vipi kigamboniiiiiii....
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
imeshakuwa kiwingu hapo.....njoo hapa samaki samaki tuanzie safari hapo....ili wanga wajifehemu
Uwiiii, Preta unanipa presha!yote yanshakuwa yako...jisikie umefika
Uwiiii, Preta unanipa presha!
Kilio cha mtu mzima...tulia kaka....
Uwiiii, Preta unanipa presha!
tulia kaka....
Kilio cha mtu mzima...
Dah!sasa tukubaliane.....nani anaanza.....kwa sababu wote nyie nawamudu....mjipange wenyewe
Ni sahihi kwa kiswahili cha wakenya, wazaire, warundi, na wazungu.
Si sahihi kwa kiswahili chetu.
sasa tukubaliane.....nani anaanza.....kwa sababu wote nyie nawamudu....mjipange wenyewe
ushakutana na mguu wa mtoto mchanga?
inategemea ni mchanga wa umri gani
kuna mmoja walimuweka hapa jamvini alizaliwa na kilo ishirini sasa afikishe miezi sita!
Mmmh! Najiweka pembeni kuepusha msongamanosasa tukubaliane.....nani anaanza.....kwa sababu wote nyie nawamudu....mjipange wenyewe
atafanyiwa tathmini tu....hakuna linaloshindikana
sasa tukubaliane.....nani anaanza.....kwa sababu wote nyie nawamudu....mjipange wenyewe
Mie nimekaa pembeni na kuangalia tu manaake Preta anatisha aisee!Nilikuwepo Topic hii ilipoanzishwa.... alafu nikaondoka...... sijui na mimi nipo kwenye hii hesabu.... au imenipita kando
Mie nimekaa pembeni na kuangalia tu manaake Preta anatisha aisee!