Tusaidiane hapa....

Tusaidiane hapa....

Nonda, hivi kwa nini mnawatetea hao wakenya wanaoharibu kiswahili. Au labda na wewe ni mmoja wao?
 
''Uchumi'' ni jina la msururu wa supermarket nchini Kenya,kwa hivyo,ni sahihi kusema ''tujenge(kampuni inanyoitwa)Uchumi yetu''.
 
Nonda, hivi kwa nini mnawatetea hao wakenya wanaoharibu kiswahili. Au labda na wewe ni mmoja wao?

Rungu,

Naona unakuja kwa ukali na rungu lako.

siyo kuwa ninawatetea. tangazo ulilolileta mwanzo halikuwa na "context" ya ku-refer.
kwa hiyo, mtu angechukulia kuwa panaongelewa Uchumi kama concept, uzalishaji,uuzaji,viwanda nk.
katika kiswahili sahihi ingetumika Uchumi wetu.
lakini baada ya kuona picha ya supermaket, ndio nikasema hili jengo, ni kama nyumba, kampuni kwa hiyo lile bango lilikuwa sahihi kutokana na kuwa wanazungumzia, jengo, nyumba,kampuni.

Nimeona hapo juu, umekubali ufafanuzi wa mchangiaji aliyesema Uchumi ni jina la kampuni yenye msururu wa supermarket.

Kwa vile uliridhika,sifikirii kama bado ungependa kujua kama mimi ni mkenya au mbongo!!!
 
Taratibu aisee, sijaja kwa ukali na hiyo siyo dhamira yangu. Nimeshakubali kufahamishwa🙂

Mkuu,

Pole kwa usumbufu.

Ile Rungu......unakuja na rungu" ni kitia ladha tu. Kama ulifuatia mtiririko wa maelezo ungeelewa hilo.

Cheers!:hug:
 
I HATE WHEN PPL HIJACK FORUM, why can't we continue with the post?.....
icon1.png
Re: Tusaidiane hapa....
 
Back
Top Bottom