Ina maana umeridhika nayo, nataka kujua is it fair? Je, ni halali?Mkuu tuendelee kulipa kutimiza wajibu wetu kama wazazi.
Mi nimelipia basi yameisha.
, "Hakuna mzazi atakayelipishwa ada kipindi chote cha Corona ambacho watoto wamekuwa nyumbani" Hutalipishwaje wakati watoto walikuwa likizo, ukilipa utakuwa umeliwa kama mwanao hadaiwi usilipe.Ina maana umeridhika nayo, nataka kujua is it fair? JE ni halali?
Vipi elimu bure inayotolewa na chama chsko hujaiona?Ina maana umeridhika nayo, nataka kujua is it fair? JE ni halali?
Wapelekeni watoto wenu shule za bure msitupigie kelele hapa, "hakuna mzazi atakayelipishwa ada kipindi chote cha Corona ambacho watoto wamekuwa nyumbani"
Hutalipishwaje wakati watoto walikuwa likizo, ukilipa utakuwa umeliwa kama mwanao hadaiwi usilipe.
Sasa Jomba mazungumzo ya kawaida una leta Matusi daaa kweli Elimu ni shida kwa baadhi ya watu. .umeishia darasani la ngapi Jomba. Hii ni hoja nimeisikia inazungumzwa. Hii inahusianaje na ccm sasa.tumia akili basi walau hata hiyo kidogo uliyonayo kufikiri.Wewe mwanaccm lipa ada mtoto asome au mrudishe kwenye elimu ya Bure inayotolewa na CCM,usitupigie kelele.Siku Magufuli anafungua mkutano mkuu wa chama cha walimu alisema atawalipa walimu hata Kama hawafanyikazi na mkamshangilia sana.sasa unataka wapunguze ada harafu pesa ya kufidia ujinga uliofanywa na incompetent wenu watazitoa wapi?
Kwa bweni, chakula, malazi, maji, na umeme.Kama baba ni mzito kuelewa kiasi hicho, sijui watoto wako watakuwa na hali gani
Katika kalenda ya mwaka ya kawaida watoto wanatakiwa kusoma kwa siku 195, baada ya janga la corona na adjustment iliyofanyika watasoma siku 185, sasa hapo unataka kupunguziwa ada ipi ?
Nadhani Serikali imejichanganya, "hakuna mzazi atakayelipishwa ada kipindi chote cha Corona ambacho watoto wamekuwa nyumbani"
Hutalipishwaje wakati watoto walikuwa likizo, ukilipa utakuwa umeliwa kama mwanao hadaiwi usilipe.
Hao watu ungewaambia wapeleke watoto wao shule za Bure ili kuipa ujiko ccm siyo kutuletea huu utopolo wako hapaSasa Jomba mazungumzo ya kawaida una leta Matusi. ...daaa..kweli Elimu ni shida kwa baadhi ya watu. .umeishia darasani la ngapi Jomba. .Hii ni hoja nimeisikia inazungumzwa. Hii inahusianaje na ccm sasa.tumia akili basi walau hata hiyo kidogo uliyonayo kufikiri.