NIC wako poa sana siku hizi. Sababu ya kukata Bima NIC ni kutokana na ubora wa huduma zao kwa sasa. Vilevile, ni Taasisi ya Serikali kwa hiyo hakuna ubabaishaji. Mimi mwenyewe nyumba zangu na magari yangu pia nimekatia Bima ya NIC.Habari.
Muda wa ku renew bima za vijibanda vyangu umekaribia ila kusema ukweli kampuni niliyopo niliingia tu kwa ushawishi wa rafiki yangu anayefanya hapo ila natamani kujua kama kuna kampuni bora na ya uhakika zaidi nikishawishika nihame.
Wenye mijengo yenu mloikatia bima za moto naomba mtutajie Kampuni ya bima zenu na mtuambie kwa nini mmezichagua hizo kampuni ili na sisi tukatie vibanda vyetu.
Itapendeza zaidi yakiwa makampuni makubwa yanayojulikana.
Natanguliza shukrani🙏🙏
Hatuna utamaduni wa kukatia nyumba bima jambo ambalo ni hatari sana.Mada nzuri sana hii ndo hivyo watu wengi tunaamini kuwa nyumba kuungua moto ni uzembe.
Sent from my SM-A035F using JamiiForums mobile app
Asante nitawafuatilia mkuu.NIC wako poa sana siku hizi. Sababu ya kukata Bima NIC ni kutokana na ubora wa huduma zao kwa sasa. Vilevile, ni Taasisi ya Serikali kwa hiyo hakuna ubabaishaji. Mimi mwenyewe nyumba zangu na magari yangu pia nimekatia Bima ya NIC.
Mimi chochote kinachohitaji bima hua nakatiaga Alliance Insurance. Naiona kama ndio kampuni nzuri Kwa Bima Kwa sasa.Habari.