Tusaidiane kuwainua single mothers kutokana na madhira wanayopitia

Tusaidiane Kuwainua Single Mothers! 💪🌟

Katika jamii zetu, kuna wimbi kubwa limeongezeka la single mothers kukumbana na changamoto nyingi mbalimbali katika jamii, changamoto hizo ni kama vile kutengwa, kudharauliwa, hukumu zisizo za haki, na ukosefu wa msaada wa kihisia au kiuchumi. Lakini je, sisi kama jamii tunaweza kufanya nini kuwasaidia?

1️⃣ Tuwape Moyo na Heshima
Inabidi tujue kuwa Single mothers ni mashujaa wanaofanya kazi mara mbili ili kuhakikisha watoto wao wanapata maisha bora , watoto ambao ni binadamu ambao wana haki pia ya kupata mahitaji muhimu na kuwa na maisha mazuri hivyo basi badala ya kuwahukumu, tuwape maneno ya faraja na heshima.

2️⃣ Kutoa Msaada wa Kivitendo
Msaada wa Kazi na Biashara: Tunaweza kuwapa mafunzo ya ujasiriamali, fursa za mitaji midogo, au nafasi za ajira zinazowiana na ratiba zao za kulea watoto.

Elimu na Mafunzo: Tunaweza kuwasaidia kina mama hawa kupata elimu au ujuzi wa kitaalamu ili kuboresha maisha yao.

3️⃣ Kuongeza Uelewa Kupitia Elimu
Tunaweza kuhamasisha jamii kupitia semina, mikutano, au hata mazungumzo ya kawaida kuhusu umuhimu wa kushirikiana badala ya kuwatenga.

4️⃣ Kujitolea kwa Vikundi vya Msaada
Ungana na vikundi vinavyolenga kusaidia kina mama wasio na waume kwa kuwapa mafunzo ya ujasiriamali, ushauri nasaha, au hata msaada wa kifedha.

5️⃣ Kuwapa Nafasi ya Pili
Kila mtu ana nafasi ya kujifunza na kuanza upya. Tuwe sehemu ya kuwainua badala ya kuwa sehemu ya changamoto zao.

6⃣ Kubadilisha Mtazamo wa Jamii

Kukomesha Unyanyapaa: Wajibu wetu ni kukemea unyanyapaa wa wazi au wa siri kwa kina mama hawa. Tunapaswa kuelewa kuwa kila mtu ana hadithi tofauti ya maisha yake.

Kila hatua ndogo tunayochukua inaweza kuleta mabadiliko makubwa. ❤️

Je, una mawazo mengine ya kuwasaidia kina mama hawa mashujaa? Tuambie maoni yako hapa chini!

#SupportSingleMothers #CommunityLove #UpliftWomen
Mimi singo mazas nawaheshimu na kuwapendabsana na nipo tayari kuwapa sapoti yangu,yupo mmoja ana watoto 2 wanasoma na kila kitu anahudimia yeye,ni rafiki yangu na tunasaidiana sana,kila nachoweza kumpa nampa kwa furaha kabisa na hakika ananipa vizuri mno hatujawahi kugombana mwaka wa 5 sasa
 
Asilimia 90 (90%) ya single maza walitaka wenyewe na wamependa wenyewe kuwa hivyo kwa kung'ang'ania usawa na wanaume. Ila hawa 10% wanaume ndiyo tulaumiwe japo msimamo ni ule ule usimuonee mwanamke huruma isipo kuwa mama yako na wale uliozaliwa nao tumbo moja.

Nb. KIJANA SINGLE MAZA SIYO KIUMBE CHA KUKIKARIBIA HATA KAMA UMELEWA, HAO NDIYO MA SUPPER WOMAN KAENI MBALI KABLA HAMJAJA KUJUTIA
 
Mimi singo mazas nawaheshimu na kuwapendabsana na nipo tayari kuwapa sapoti yangu,yupo mmoja ana watoto 2 wanasoma na kila kitu anahudimia yeye,ni rafiki yangu na tunasaidiana sana,kila nachoweza kumpa nampa kwa furaha kabisa na hakika ananipa vizuri mno hatujawahi kugombana mwaka wa 5 sasa
Mfano hai mzuri , hiki ndicho kinachotakiwa
 
Njia zako za kutatua tatizo ndio njia wanazotumia wanasiasa kuwapiga wajinga wa hii nchi.Kwanini usitafute chanzo au mzizi wa tatizo kisha ukalitatua na kulitokomeza.

Kwa njia zako hizo za kifirauni ni bora mnipeleke GAZA nikawasaidie wapalestina kupigania uhuru wao kuliko kuwasaidia SINGO MAZA.

SINGO MAZA hana haki,hawana hadhi,ni watu wa kupigwa vita maana ndio chanzo cha matatizo yote katika jamii.Matatizo yanayosababishwa na SINGO MAZA:
1.Jamii kuwa na wanaume walegevu na wenye hulka na tabia za kikekike.

2.Mashoga yote ukifatilia asilimia kubwa wamelelewa na SINGO MAZA.

3.Wavuta bangi,malaya,wadangaji na vibaka wengi ni matokeo ya malezi ya MASINGO MAZA.

4.Tatizo la MISHANGAZI hawa asilimia kubwa ni magumegume MASINGO MAZA wanaoharibu vijana wadogo na kuwaharibia maisha kwa kuwapumbaza na kwa kuwapa magonjwa.

#KATAA MASINGO MAZA,KATAA LAANA!!!
 
Neno langu ni moja tu hakuna ajuaye kesho what goes around comes around kama sio ww bas watoto wako wa kike [emoji850]
 
Usiruke ukurasa.
Dunia kitabu Soma kwa kufuata kurasa hata Kama hujui unaelekea wapi usije kuchanganyikiwa.
 
mleta mada ni mfaidika wa MASINGO MAZA kwanza introvet hawajuagi kutongoza MADOMO ZEGE.La! basi huyu anamasingo maza wamemzunguka katika jamii anayoishi.

Mleta mada unachotakiwa kujua ni kuwa hawa SINGO MAZA ukifatilia ilikuwaje wakawa SINGO MAZA unapata kujua these were hoes,hoing around ila one tym alikutana na bad boy mmoja akamjaza.Na pia ni aina ya wanawake wavivu waliokuwa wanarikingia sura zao na matako yao ila kikawaramba saivi wanatia huruma.

Chakukushauri tu kaa ikijua KUNGURU HAFUGIKI,kama upo karibu na SINGO MAZA au ndo pigo zako hizo maana hao huwa hawakatai these are VETENARY SOLDIERS/CONTRACTED MERCENARIES working from bed to bed.

Hawa ni wanawake ambao wako DAMAGED beyond repair!!!Hawa wengi wanavisasi,GUBU, wanaTRAUMA mioyoni mwao,wengi wameshajiapiza kufanya revenge endapo akipata chance ya kupata MAANAUME MABWEGE ambayo hayana akili yakajilengesha kwake.

Acha gari ya DRIVING SCHOOL ibaki kwajili ya mafunzo ya udereva,kwanini unapeleka nyumbani.

Learn or perish!!!!!
 
Singo maza ni aliyefiwa na mume tu!!!

Hawa wengine ni malaya TUTAPIGA SPANA mpaka mwisho wa dunia.
 
Mimi nimelelewa na wazazi wawili

Lakini bado single maza ni binadamu anahitaji kuheshimiwa, kuthaminiwa na kupendwa

Nimeona wadau wanasema single maza wanachangia ushoga plus wanaume walegevu ?

unajua mashoga wengi hasa walioanza udogoni 18 kushuka chini wamefanyiwa vitendo hivyo na ndugu ama jamaa wa karibu?

na wapo wengi wamefanyiwa ukatili wakiwa wana wazazi wote wawili na sio mtoto wa single maza ?

Mimi nimekuwa karibu na familia za single maza mara nyingi wanachokosea ni kuwajaza watoto sumu, chuki dhidi ya mzazi mwenzake....

Na sio single maza mbona kina mama kibao wapo kwenye ndoa na wanawajaz watoto wao maneno ya sumu na chuki dhidi ya baba yao ?

Hata kama walitaka usawa ni nani anapaswa kuhangaika na mtoto wake ni baba ikiwa mtoto akifikisha miaka saba kwanin usimchukue mwanao kama una upendo wa kweli kwa mwanao ? Badala yake unamwacha anakuwa mtoto wa mtaani au analelewa na baba mwingine!

Sitetei single maza Ila tuwe na kiasi, na hekima kwenye kuzungumza!

sisi sisi ndo utasikia kwanin usiongeze hata mmoja ukimpa mimba ukidaiwa matunzo unaanza matusi unafikiri huyo mtoto ama Mama ni jiwe asipate kuishi ?

Ongezeko la single mama tukiachilia wao kujitakia lakini sababu kuu pia ipo kwetu......

watoto wa 18 kufika 35..... wengi ni single parents wa kiume kwa wa kike sijui tatizo ni nini ?

NDoa zimekuwa mtihan hasa!

NB: Mimi nimetetea tuu.....
 
Natamani kuongea kitu ila sio kila single mother anastahili huruma yoyote ile. Hawa watu wengi ni katili mno na ukimkaribisha kwenye maisha yako jiandae kujutia maisha yako yote.
Wapo wachache na inahitajika research ya maana kujua sababu kwanini ni Single mother. Wengi ni zao la matendo yao ya kijinga na uovu wao kwa wanaume waliowekeza kwao wakatumia udhaifu wa wanaume sasa siku mwanaume alipozinduka ndio unawaona mtaani wakilipia gharama za ujeuri na uovu wao.
Usimsaidie single mother mpaka akupe sababu na uzithibitishe akikataa kimbia hilo ni Jini makata hata alie machozi usimhurumie ukamuingiza kwenye maisha yako.
 
Back
Top Bottom