Unique Flower
JF-Expert Member
- Apr 19, 2019
- 12,838
- 25,282
Seat ya kwanza dirishani nkimuangalia kwa ukaribu Mrs fulaniHapa jamii forum kupitia huu uzii kwanini upo single na huolewi au huoi tatizo nini.
Umelogwa au mvivu wakutafuta mpenzi serious .
Maana humu wadar ni wengi na wanasifa zote wadada wanazotaka shida nini??
Maelfu ya wanajf wakiume ni single wamejenga wajitahidi kupanda chart wengine wanamkaribia Dangote shida nini unataka kuzikwa na magari yako yote na wanawake wakila rangi na umbo wamo humu na wadada shida nini mnakwama wapi??
Yes yanatoka ila huna imani maji yangetoka ukiwa na imaniMAJI SHIDA... KWENU YANATOKA?
Kwanini umemfungia mwanaume rijali pm yako ??Wanakuja
Mnaboa kubali uitwe mama furani au baba furani aiiihMbio mbio unaandika bila ata nukta,Ni stress za kuolewa au nini?
Mie wakike sasa nitaoajeUkiowa wewe inatosha?
Vijana wa JF wao wanahitaji Mwanamke mwenye sifa hiziHapa jamii forum kupitia huu uzii kwanini upo single na huolewi au huoi tatizo nini.
Umelogwa au mvivu wakutafuta mpenzi serious .
Maana humu wadar ni wengi na wanasifa zote wadada wanazotaka shida nini??
Maelfu ya wanajf wakiume ni single wamejenga wanajitahidi kupanda chart wengine wanamkaribia Dangote shida wenini unataka kuzikwa na magari yako yote na wanawake wakila rangi na umbo wamo humu na wadada shida nini mnakwama wapi
Wewe kwa ruhusa ya nani umeoa tulia bahna tema wife ni mzuri balaahMwenye muonekano huu, njoo haraka nikuoe mwezi huu, kabla mwaka haujaisha.
View attachment 2405931
Tujiulize nani magentlemen na maldies waukweliHili nalo likatazamwe muheshimiwa waziri......kwann vijana hawaoi