Tusaidianeni kwa hili

Tusaidianeni kwa hili

Unique Flower

JF-Expert Member
Joined
Apr 19, 2019
Posts
12,838
Reaction score
25,282
Hapa JamiiForums kupitia huu uzii kwanini upo single na huolewi au huoi tatizo nini.

Umelogwa au mvivu wakutafuta mpenzi serious .

Maana humu wadar ni wengi na wanasifa zote wadada wanazotaka shida nini?

Maelfu ya wanajJF wa kiume ni single wamejenga wanajitahidi kupanda chart wengine wanamkaribia Dangote shida nini unataka kuzikwa na magari yako yote na wanawake wa kila rangi na umbo wamo humu na wadada shida nini mnakwama wapi?
 
Hapa jamii forum kupitia huu uzii kwanini upo single na huolewi au huoi tatizo nini.

Umelogwa au mvivu wakutafuta mpenzi serious .

Maana humu wadar ni wengi na wanasifa zote wadada wanazotaka shida nini??
Maelfu ya wanajf wakiume ni single wamejenga wajitahidi kupanda chart wengine wanamkaribia Dangote shida nini unataka kuzikwa na magari yako yote na wanawake wakila rangi na umbo wamo humu na wadada shida nini mnakwama wapi??
Seat ya kwanza dirishani nkimuangalia kwa ukaribu Mrs fulani
 
Hapa jamii forum kupitia huu uzii kwanini upo single na huolewi au huoi tatizo nini.

Umelogwa au mvivu wakutafuta mpenzi serious .

Maana humu wadar ni wengi na wanasifa zote wadada wanazotaka shida nini??
Maelfu ya wanajf wakiume ni single wamejenga wanajitahidi kupanda chart wengine wanamkaribia Dangote shida wenini unataka kuzikwa na magari yako yote na wanawake wakila rangi na umbo wamo humu na wadada shida nini mnakwama wapi
Vijana wa JF wao wanahitaji Mwanamke mwenye sifa hizi

Umbo namba nane
Degree au masters
Uwe stable financially
Uwe mcha Mungu
Usiwe single mother
Uwe Mweupe bila mkorogo

Ukiona una sifa hizo Bado Ngoma ngumu fahamu umerogwa


Na siku hizi vijana wanazidi kutoboa ndo wanawakimbia wanawake

Marrige is scam
 
Tatizo lilopo hata wadada nao wanataka watu ambao wenye sifa hizi fanancial stable,Wenye mavog,pesa ndo maana hata kama ukimfuata pm mwengine atakujibu kwa dharau wapo ambao hawakujibu ila ujumbe kasoma na jibu harudishi hivyo upendo wa kweli haupo saivi kupata mtu kuanzia 0 ngumu kila mtu anataka aliyestable financial.Ni hayo tu.
 
Mwenye muonekano huu, njoo haraka nikuoe mwezi huu, kabla mwaka haujaisha.
gg.jpg
 
ukiona mtu anatafta mpenzi mtandaoni bas ni kumalizana nyege huwez pata mtu unaemtaka.

wakaza mafuvilu lazima watanioinga ila kupata mwenza ni process ambayo inahitaji mungu na umakini
 
Back
Top Bottom