Tusaidianeni kwa hili

ukiona mtu anatafta mpenzi mtandaoni bas ni kumalizana nyege huwez pata mtu unaemtaka.

wakaza mafuvilu lazima watanioinga ila kupata mwenza ni process ambayo inahitaji mungu na umakini
Ni kweli ila zama humu humu wako yupo ukiamini mungu atakusaidia
 
Binafsi, Sababu zilizopelekea kuwa single ni..
1. Muda bado tu wa kukutana na mke wangu ila najua yupo na ipo siku nitakutana nae.

2. Pesa. Sina mtonyo wa kusema niwaze kufunga ndoa kwa sasa. unaishi nyumba ya kupanga alafu unataka ufunge harusi na huna hata kiwanja huo ni ufala.

3. Wanawake wenye sifa ninazo zitaka ni wachache sana, hata siwaoni huku nilipo.

Kikubwa kiu ikizid naruka na Yeyote. fullstop
 
Ni changamoto kubwa sana, wengi wanakuja stuka wamezalishwa na wahuni ambao tayari wanafamilia
 
Huo nod ukweli
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…