Tusaidianeni kwa hili

Tusaidianeni kwa hili

Wewe umeolewa au bado unadanga?

Emu tuanzie hapo
Mimi sidangi humu na chimbo langu spesho nikikuombea form ni laki 7 na ukitaka ukubaliwe haraka 1ml hiyo ni kwa wakaka siye wadada nikupendeza tu no problem oeni acheni kuiga mtakuja juta ona mnaharibu uume kwa nyeto
 
Wanawake wamezembea hadi wamefika idadi ya 1.6M ya ziada ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚ sasa watulie tena waone 2032 hali itavyokuwa mbaya.

Ulipaswa uwaambie waje pm kujieleza shida zao za kimahusiano ili tuwasapoti.
Wewe unaringa kama malaika kumbe wakawaida tu halafu majibu yako kama dangote nani wakawaida tu sasa nani atakuja pm hata wasiojielewa hawawezi kuja pm kudharauliwa kiasi cha kupata presha na watu wanawaza maji na umeme wa msimu isitoshe chakula ni ishu ingine hamna kuna ukame bado tuwaze na shida ulizozileta ndio maana watu kimya na shida zao
 
Back
Top Bottom