Tusaidianeni kwa hili

Tusaidianeni kwa hili

Binafsi, Sababu zilizopelekea kuwa single ni..
1. Muda bado tu wa kukutana na mke wangu ila najua yupo na ipo siku nitakutana nae.

2. Pesa. Sina mtonyo wa kusema niwaze kufunga ndoa kwa sasa. unaishi nyumba ya kupanga alafu unataka ufunge harusi na huna hata kiwanja huo ni ufala.

3. Wanawake wenye sifa ninazo zitaka ni wachache sana, hata siwaoni huku nilipo.

Kikubwa kiu ikizid naruka na Yeyote. fullstop
miaka yako please

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Shida ni hali ngumu waliyonayo nje ya Jf
Pia wengi wana wake zao usiwaone kushinda humu kutwa
 
Basi ngoja nimsubirie mwenye sababu zilizo ndani ya uwezo wake
😁😁😁😁😁😁 Pole mwaya ndio maisha lakini kila mtu Mungu kampangia awe na mtu Fulani atakuletea mke mwema na mtaishi Kwa furaha na Mimi niombee hivyonimekaa kutafuta watu humu serious tokea 2019 na bado hampo serious pole Kwa Hili sinachakufanya
 
Sawaa, nawe endelea kuwa mvumilivu, Mungu anakuandalia kilicho bora.
 
Back
Top Bottom