Pre GE2025 Tusaidianeni. Kwanini wabunge wengi wamepata Bachelors na Masters kutoka Open University? Kuna siri gani kwenye hicho chuo?

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Una matope kichwani. Shida nini? Ingekuwa hizo degree wanapata toka secondary ambayo haina ithibati ya kutoa hiyo bachelor ndio ulalamike. Ok let say wote hizo bachelor wangezipata udcm au udom so what? Kenge wewe.



Kwa umri wako kuandika matusi kama haya mtandaoni ni kukosea heshima wazazi wako.

Hamna mtoto wako humu. Unamfokea nani?
 
Una download cheti chochote unachotaka
Kwa kuwa kinakuwa hakina kazi zaidi ya kujitamba basi.
 
Na makofia kama machupi ya india
 
1. Convenient studying of the selected field of specialization at own pace
2. Study while working and earning a lucrative salary or business
3. No stress and coercion from lecturers
4. Matured age individuals' avenue to acquire soft skills
5. Probably is convenient for someone to study the course through a representative, I guess!!
 
Hapa watu wanamtolea mapovu tu mleta mada lakini kiuhalisia open watu wananunua matokeo/vyeti sana tu na uwezekano wa kutoka empty kabisa kichwani ni mkubwa mno, usicheze na msuli yatima. Si kubovu kwa 100% na Kuna products nzuri tu zinazotoka huko zile zinazojitambua, lakini ni sehemu inayotoa fursa kirahisi kwa wahuni kununua matokeo/vyeti zaidi ukilinganisha na vyuo vingine.

Nina mifano ya wadau wangu kadhaa.

Mfano mmojawapo ni ticha mmoja mdingi ni mtu wa mitungi sana 24/7 kalewa chakari na hana time ya kutulia home, yaani hata asipokunywa yeye yupo tungi alishalewa jumla.

Sasa huyo dingi wakati naanza kumfahamu kumbe alikuwa anachukua bachelor ya education, alikuwa first year. Ajabu hakuwa na PC, simu janja wala njia yoyote ya kupata materials za kujisomea wala huo muda wa kujisomea asingeweza kuwa nao. Hata kufanya mitihani kwa jinsi alivyokuwa sidhani kama alikuwa akienda.

Mzee kala mitungi weeee miaka 3 imeisha analeta cheti ni mabanda matupu na B+ za kuhesabu, ana first class! Tuliposhangaa mzee akasema siwezi kujitesa wala kufeli open university wakati nina hela. Mzee kaendelea na mitungi kapata ajali kaumia kichwani sasa ni kama chizi.
 
πŸ“ŒπŸ“ŒπŸ“ŒMleta mada kabla hujajibiwa ingefaa uweke hapa CV yako.Yamkini hujui hata maana ya OPEN UNIVERSITY🀝

Majibu mengine lazima uwe na uhakika na akili,elimu na uwezo binafsi wa mtu unayefanya nae mazungumzo.
 
Hicho ni chuo makini sana kuliko vyuo vyenu vya kulishwa na walimu kama form IV D.
OUT unakomaaa mwenyewe kujitafutia. Nimesoma hapo na niliona ugumu wake, hakuna kudesa OUT
 
Distance learning ndio faida yake you study with freedom, flexibility and at your own pace. Very convenient for those who are busy and also for slow learners. Open University for customized education
 
Siyo wabunge peke yao Hadi mawaziri na rais
Karume alipata degree akiwa rais hasa unajiuliza muda gani alikuwa alisoma na muda gani alikuwa alikuwa alifanya kazi.
 
Hicho ni chuo makini sana kuliko vyuo vyenu vya kulishwa na walimu kama form IV D.
OUT unakomaaa mwenyewe kujitafutia. Nimesoma hapo na niliona ugumu wake, hakuna kudesa OUT
Unakumbuka jinsi watu wa It na wengineo walivyofukuzwa kikiwa chini ya Prof. Mbwete.
 
Elimu kwa sasa ni mtu binafsi, vyuo vyetu vyote vinafanana sana, mchawi ni mwanafunzi mwenyewe. Wanaotaka kwenda UDSM waende, wanaotaka OUT wakapige shule pia.
 
You've attended universities that filled your head with nonsense. Use Swahili to build your argument because you've failed to make sense in English.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…