Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hii mada ni muhimu kuliko mada zote niliziwahi kuzisoma Jf🥺Wakuu,
Nilikuwa napitia pitia CV za wabunge hapa wakuu.
Hawa ndio wabunge, ambao wana degrees na masters kutokea kwenye hicho chuo cha Open University:
- Assenga Abubakar Damian – Mbunge wa Kilombero – Bachelor of Arts in Political Science
- Innocent Bashungwa – Mbunge wa Karagwe – Masters of International Affairs (2016-2020)
- Oscar Ishengoma Kikoyo – Mbunge wa Muleba Kusini – PhD, Open University
- Ndaisaba Ruhoro – Mbunge wa Ngara – Masters in Project Management
- Flaurent Laurent Kyombo – Mbunge wa Nkenge – MBA, Open University
- Geofrey Mizengo Pinda – Mbunge wa Kavuu – Bachelor's Degree
- Sebastian Simon Kapufi – Mbunge wa Mpanda – Bachelor's in Law
- William Lukuvi – Mbunge wa Ismani – Masters in Political Science
- Davidi Kihenzile – Mbunge wa Mufindi Kusini – LLB
- Joseph Mkundi – Mbunge wa Ukerewe – MBA
Hawa ni wachache tu, naamini kuna wengi ambao wamesoma kwenye hicho chuo.
Swali langu ni kwanini wabunge wengi wamepata degrees na masters kwenye hicho chuo?
Ndio kusema kwamba hiki chuo kina hadhi kuliko UDSM au kupata degree hapo ni rahisi?
✔️✔️✔️✔️👌Kusema kweli Open ni chuo cha vilaza++
✔️✔️✔️✔️👍OPEN UNIVERSITY =OPEN CORRUPTION
Sijawahi sikia mtu ana 1.3 ya VI anaenda Open kusoma Bachelor. Hicho ni chuo cha vilaza aka vibondeMweleweshe usimutukane
- OUT ni chuo sawa na vyuo vingine;
- OUT ni chuo chenye ithibati;
- Course zake ni zingativu sawa na vyuo vingine
Sijawahi sikia mtu ana 1.3 ya VI anaenda Open kusoma Bachelor. Hicho ni chuo cha vilaza aka vibonde
Kuna dalili hiki ni kiwanda cha serikal..I cha kutengeneza Degree za wanasiasa na vilaza walioko makaz..in.
Ndio wenye mawe ya kufa mtu.Sijawahi sikia mtu ana 1.3 ya VI anaenda Open kusoma Bachelor. Hicho ni chuo cha vilaza aka vibonde
Ndio wenye mawe ya kufa mtu.
Endelea kumeza.Dunia imeshabadilika sana kwa sasa.Pesa fumbua matatizo.
Hawa watoto wao hawata soma hapo..watakuwa ng'ambo na wakija wa atukjata sisi wenye 1.3 ya VI tukipambana na Ajira portal plus udalali na uchawa.
Eeh, hivyo hivyo tu, tutafika.Mimi mwenyewe mwakani nataka nikapige course ya Bachelor of presidency.. 🙂 🙂.
Sina mkuu, mimi ni kijana wa kula nilichopata leo., ya Kesho itajulikana. 🙂Si unajua masharti yake? Inabidi usiwe na utajiri wa zaidi dollar million 10
Amekaza kumbe ana masters ya Mzumbe!!!Nape allegedly amesoma Bangalore University upande wa degree, Masters kasoma Mzumbe.
Sidhani kama kqpita hapo mkuu
Kigwangala je???Wakuu,
Nilikuwa napitia pitia CV za wabunge hapa wakuu.
Hawa ndio wabunge, ambao wana degrees na masters kutokea kwenye hicho chuo cha Open University:
- Assenga Abubakar Damian – Mbunge wa Kilombero – Bachelor of Arts in Political Science
- Innocent Bashungwa – Mbunge wa Karagwe – Masters of International Affairs (2016-2020)
- Oscar Ishengoma Kikoyo – Mbunge wa Muleba Kusini – PhD, Open University
- Ndaisaba Ruhoro – Mbunge wa Ngara – Masters in Project Management
- Flaurent Laurent Kyombo – Mbunge wa Nkenge – MBA, Open University
- Geofrey Mizengo Pinda – Mbunge wa Kavuu – Bachelor's Degree
- Sebastian Simon Kapufi – Mbunge wa Mpanda – Bachelor's in Law
- William Lukuvi – Mbunge wa Ismani – Masters in Political Science
- Davidi Kihenzile – Mbunge wa Mufindi Kusini – LLB
- Joseph Mkundi – Mbunge wa Ukerewe – MBA
Hawa ni wachache tu, naamini kuna wengi ambao wamesoma kwenye hicho chuo.
Swali langu ni kwanini wabunge wengi wamepata degrees na masters kwenye hicho chuo?
Ndio kusema kwamba hiki chuo kina hadhi kuliko UDSM au kupata degree hapo ni rahisi?
Basi jiandae ukasomeSina mkuu, mimi ni kijana wa kula nilichopata leo., ya Kesho itajulikana. 🙂