Pre GE2025 Tusaidianeni. Kwanini wabunge wengi wamepata Bachelors na Masters kutoka Open University? Kuna siri gani kwenye hicho chuo?

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Hii mada ni muhimu kuliko mada zote niliziwahi kuzisoma JfπŸ₯Ί

Open university msipolitolea ufafanuzi ni hatari kuliko mnavyofikiria.
 
Mweleweshe usimutukane
  • OUT ni chuo sawa na vyuo vingine;
  • OUT ni chuo chenye ithibati;
  • Course zake ni zingativu sawa na vyuo vingine
Sijawahi sikia mtu ana 1.3 ya VI anaenda Open kusoma Bachelor. Hicho ni chuo cha vilaza aka vibonde
 
Kuna dalili hiki ni kiwanda cha serikal..I cha kutengeneza Degree za wanasiasa na vilaza walioko makaz..in.
 
Kuna dalili hiki ni kiwanda cha serikal..I cha kutengeneza Degree za wanasiasa na vilaza walioko makaz..in.

Nahisi hivi pia.

Huwezi kuta mtu amemaliza form 6 ana division 1 anaenda kusoma hapo Open University.

Kuna kitu kwenye chuo hiki ambacho hatuambiwi
 
Sijawahi sikia mtu ana 1.3 ya VI anaenda Open kusoma Bachelor. Hicho ni chuo cha vilaza aka vibonde
Ndio wenye mawe ya kufa mtu.
Endelea kumeza.Dunia imeshabadilika sana kwa sasa.Pesa fumbua matatizo.
Hawa watoto wao hawata soma hapo..watakuwa ng'ambo na wakija wa atukjata sisi wenye 1.3 ya VI tukipambana na Ajira portal plus udalali na uchawa.
 
Kwa hiyo unasapoti watu kununua degrees just because wako na hela?
 
Masikini mna makasiriko yanayotokana na njaa
Tafutenu hela, acheni kujadili watu waliomalizana na matatizo ya maisha....
Kanunueni na nyinyi hizo masters au hamna hela?
 
Kigwangala je???
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…