ERICKY_TZ255
Member
- Aug 27, 2024
- 49
- 42
Kweli BrooNIDA walipaswa kuwa wabunifu wapite kwenye mashule kusajiliwa wanafunzi wa kidato cha nne wanaomaliza shule.
Hao ni raia wapya wanaoingia mtaani katika nyanja za juu za kielimu na soko la ajira
Ndiyowatafuta hii.
Kadi ya NIDA sio sawa na kitambulisho cha kupigia kura.Inashangaza kwa kweli.
Ikiwa Tume huru ya Taifa ya Uchaguzi (INEC) inaweza kutoa kadi ya mpiga kura ndani ya saa chache; inashindikana vipi kwa NIDA kufanya hivyo?
Utofauti wake ni nini??.Kadi ya NIDA sio sawa na kitambulisho cha kupigia kura.
Ukipata kitambulisho cha NIDA unapata access nyingi hivyo lazima vitolewe kwa umakini sio haraka haraka kama kitambulisho cha kupigia kura ingawa ucheleweshaji wao unaweza kuwa ni uzembe pia. Muhimu umakini uwepo tu kuhakikisha ni wa-Tanzania pekee ndio wanaopata vitambulisho hivyo.Utofauti wake ni nini??.
Upo Mkoa gani ndugu yangu??.π Na nasikia hairuhusiwi kufanya maombi zaidi ya mara moja.ππ€£Mimi tangu nilivyopiga picha 2018 mpaka leo cjapata hata namba ya nida yenyewe,mwisho nimeamua kukubali tu yaishe
Nipo morogoro kilosaUpo Mkoa gani ndugu yangu??.π Na nasikia hairuhusiwi kufanya maombi zaidi ya mara moja.ππ€£
Nipo morogoro kilosao
Nimekwambia hata namba ya nida yenyewe sijapata alafu unasema kuhusu cardDaaah yani miaka zaidi ya mitano sasa Card watakupa baada ya mda gani
Ushajalibu kwenda kwenye Ofisi ulizojiandikishia??.Nimekwambia hata namba ya nida yenyewe sijapata alafu unasema kuhusu card
Hii iko Sawa.NIDA walipaswa kuwa wabunifu wapite kwenye mashule kusajiliwa wanafunzi wa kidato cha nne wanaomaliza shule.
Hao ni raia wapya wanaoingia mtaani katika nyanja za juu za kielimu na soko la ajira
Mara nyingi tu na ninaambiwa nimekuwa rejected khy nisubiri mpaka utaratibu mwingine utangazweUshajalibu kwenda kwenye Ofisi ulizojiandikishia??.
Ushajalibu kwenda kwenye Ofisi ulizojiandikishiaNimekwambia hata namba ya nida yenyewe sijapata alafu unasema kuhusu card
Mara nyingi tu na ninaambiwa nimekuwa rejected khy nisubiri mpaka utaratibu mwingine utangazwe