Mwenye Connection nao watusaidie bana tuweze kuwasiliana nao mimi mwaka wa pili unakata toka nimemaliza usajili hata namba sijapewa, nikijalibu kuangalia Online wanasema nihakiki taalifa au nifike ofisi nilizojisajili nikienda kila siku wanasema kuna changamoto ya mtandao😑😂 nashindwa kuelewa inakuwaje.