Tusalimiane kinyumbani!

Tusalimiane kinyumbani!

hahaha uncleben umasai wauweza mkuu...yeyoo takwenya
Teh teh Mimi Masai aisee ,yeyoo takwenya hivyo ni unamwamkia mwanamke

Mwanaume kama unalingana nae umri unamwambia Subai Jambilo
Kama ni baba unamwambia Airoroki vava ,kama umemzidi umri unamwambia eroo subai
 
yevaa
 
Back
Top Bottom