Tusalimiane kinyumbani!

Tusalimiane kinyumbani!

Habari za Asubuhi! Kwa utamaduni wetu sisi waafrika,asubuhi kama hii baada ya kuamka salama na kumshukuru muumba,kupeana salam wengine hawana raha kama hii...nisiwachoshe we tupia salaam ya kwenu naamini humu utajibwa tu.Mimi naanza Nam_nani....
Bwacha sugu/mawe??? na kuinama ile mbaya.
 
Kuna salaam zinaongeza mpaka appetite ya kula humu...
 
Habari za Asubuhi! Kwa utamaduni wetu sisi waafrika,asubuhi kama hii baada ya kuamka salama na kumshukuru muumba,kupeana salam wengine hawana raha kama hii...nisiwachoshe we tupia salaam ya kwenu naamini humu utajibwa tu.Mimi naanza Nam_nani....
Nichedi iti hetidhe
 
mwanyale kwa mukaye lyampa kubyaga musundi kwabya rulale!!;
 
Back
Top Bottom