sungusungu
JF-Expert Member
- Dec 21, 2012
- 3,057
- 719
UlewediHabari za Asubuhi! Kwa utamaduni wetu sisi waafrika,asubuhi kama hii baada ya kuamka salama na kumshukuru muumba,kupeana salam wengine hawana raha kama hii...nisiwachoshe we tupia salaam ya kwenu naamini humu utajibwa tu.Mimi naanza Nam_nani....