sungusungu
JF-Expert Member
- Dec 21, 2012
- 3,057
- 719
UlewediHabari za Asubuhi! Kwa utamaduni wetu sisi waafrika,asubuhi kama hii baada ya kuamka salama na kumshukuru muumba,kupeana salam wengine hawana raha kama hii...nisiwachoshe we tupia salaam ya kwenu naamini humu utajibwa tu.Mimi naanza Nam_nani....
Mhola nkoyi.Ng'wangaluka omishaga mhola?
waweneMapembelo!
Waaleykum salaam warahmatullah taala wabarakatuh.Asalaam aleykum warahmatullah wabarakatuh.
Ni salam ya saa ngapi? Mkuu hiyo salam haina limit time,ni muda wowote tu.Wa aleykum salaam.. (ila hiyo siyo salaam za asubuhi)!!
Nakubaliana nawe 100% !! (niliona mleta uzi aliomba salaam za asubuhi kiketu) Lakini vyema inakubalika 24/7 !!Ni salam ya saa ngapi? Mkuu hiyo salam haina limit time,ni muda wowote tu.
mwaramutse,uraho??Mwaramutse
moniliMonili mwavalongu vangu...
kamwene mnogeKamwene
wacha weeeeeMUGHONILE BHANDUGU!
FUNGUKA NAWEWE SASA?wacha weeeee
Ahahah! We jamaaa weweHii nayo ni salaam kumbe dah!
Hivyo hivyo tu bosi wanguMkuu na hii unaielewa ?? kweli wewe kiboko