and 998 others
JF-Expert Member
- Jun 27, 2012
- 28,477
- 40,278
Mimi ni mmoja ga watu waliokubeza baada ya talaka. Nikidhani tamaa zako zimekufanya kuachana na ndoa ya zamani na kuingia ndoa mpya na Dr. Tusamehe tulikuhukumu bila kujua upande wa pili. Kumbe ulipitia mengi. #SorryPhares#
Soma
Soma