Monetary doctor
JF-Expert Member
- Oct 20, 2022
- 14,350
- 27,420
Flat akamzalia watoto wanaomheshimishaDr ana nyama nyingi tofauti na Shangazi Haika. Sura nzito flat screen.
Hata kwenye waraka wa talaka kaonesha positivity!!
Sasa wewe anyomous upo hapa ku criticize mtu ambaye hata hajui km yupo kikaangoni
Afu wao sio wa kwanza wala wa mwisho kuachana mzee