and 998 others
JF-Expert Member
- Jun 27, 2012
- 28,477
- 40,278
Dr ana nyama nyingi tofauti na Shangazi Haika. Sura nzito flat screen.Kila kitu kinatokea kuna sababu zake, je km huyo Dr ndio sababu?? Mmmh
Angetoa yoote ili isiwe udhanivoKila kitu kinatokea kuna sababu zake, je km huyo Dr ndio sababu?? Mmmh
HaswaaAngetoa yoote ili isiwe udhanivo
Umeona sasa?Dr ana nyama nyingi tofauti na Shangazi Haika. Sura nzito flat screen.
Umeifungua hiyo video ukamsikiliza kwanza huyo mwanamke?Kila kitu kinatokea kuna sababu zake, je km huyo Dr ndio sababu?? Mmmh
HakikaMimi ni mmoja ga watu waliokubeza baada ya talaka. Nikidhani tamaa zako zimekufanya kuachana na ndoa ya zamani na kuingia ndoa mpya na Dr. Tusamehe tulikuhukumu bila kujua upande wa pili. Kumbe ulipitia mengi. #SorryPhares#
Soma
Hapa mnazungumzia nini nyie jopo na mitambo ya umbea?Mimi ni mmoja ga watu waliokubeza baada ya talaka. Nikidhani tamaa zako zimekufanya kuachana na ndoa ya zamani na kuingia ndoa mpya na Dr. Tusamehe tulikuhukumu bila kujua upande wa pili. Kumbe ulipitia mengi. #SorryPhares#
Soma