Monetary doctor
JF-Expert Member
- Oct 20, 2022
- 14,350
- 27,420
Flat akamzalia watoto wanaomheshimishaDr ana nyama nyingi tofauti na Shangazi Haika. Sura nzito flat screen.
NAKAZIA, MTU ANAMZUNGUMZIA MTU MDOGO KIRAHISI KAMA HAYATI BABA WA TAIFA KWAMBA KILA MTU ANAMJUA KWA KINA.Huyu ndo nani kwani.!?
Acheni kuweka nyuzi kama wote Wambea wa maisha ya watu
Takataka nyengine ukizifungulia uzi weka na wasifu kama wa marehemu kwa uchache
Imemuuma sana inaonyesha waziMama la Mama ana stress hatari. Chezea menopause
Ukiwa mpuuz usiongee ukiwa na stress. Upumbavu wako unaonekana live. Ona Manka kaleta aibu kwa wanawake wa kichaga kuwa ni wapenda mali na wauajiImemuuma sana inaonyesha wazi
Sahihi, angekaa kimya hakuna angejua upumbavu wake na watu wangeendelea kujua mwanaume ndio ana tatizoAsie ukiwa mpuuz usiongee ukiwa na strwsa. Upumbavu wako unaonekana live
Aibu sana. Unaponda ndoa huku unafanya biashara ya kumbi za harusi. Akili za menopause jau sanaSahihi, angekaa kimya hakuna angejua upumbavu wake na watu wangeendelea kujua mwanaume ndio ana tatizo
Duuuuh hii noma kinomanoma kudadeek Wazee mna maneno makavu makavuDr ana nyama nyingi tofauti na Shangazi Haika. Sura nzito flat screen.
Duuuh hahaha kwanini tena?Tue dapo atamnanga jamaa kibamia
Hahaha menopause tena nayo inahusika?Aibu sana. Unaponda ndoa huku unafanya biashara ya kumbi za harusi. Akili za menopause jau sana
Jamaa anapaka mbaya sana duuh eti flatscreen sura ngumu hahahaFlat akamzalia watoto wanaomheshimisha
Hata kwenye waraka wa talaka kaonesha positivity!!
Sasa wewe anyomous upo hapa ku criticize mtu ambaye hata hajui km yupo kikaangoni
Afu wao sio wa kwanza wala wa mwisho kuachana mzee
Hahaha oya punguza basi mkuuMama la Mama ana stress hatari. Chezea menopause
Hahahah huyo wanaemsema hata Hana habari hiyo yupo katulia anawaza mikakati ya kutapeli wake zao kukicha kwa makongamano ya kifeministJamaa anapaka mbaya sana duuh eti flatscreen sura ngumu hahaha
Haika namfahamu vizuri sana, sina haja ya kumsikiliza kwa video.Umeifungua hiyo video ukamsikiliza kwanza huyo mwanamke?
Aliachwa yesu na baba yake tena msalabani.Kwani hawa ndiyo watu wa kwanza kuachana
Ova