Tusanue apps zipi unatumia zinakurahishia kwenye nyanja tofauti

Tusanue apps zipi unatumia zinakurahishia kwenye nyanja tofauti

Swahili AI

JF-Expert Member
Joined
Mar 2, 2016
Posts
10,174
Reaction score
89,364
Tusanue apps zipi unatumia kwenye simu, Android OS au iOS Ambazo zinakurahishia kwenye nyanja tofauti.
Tuambie na namna ya kuzipata.

Mfano: View attachment 2995740View attachment 2995742
Hii unaweza kuipata kwa kuidownload kutumia browser yako maana haipo playstore wala appstore.

Inarahisisha kwenye ku-copy captions na comment kwenye post yoyote.
Pia unaweza ku-download picha au video yoyote kutoka insta ata kama ni ads.



App nyingine ambayo naikibali sana ni OnStream, hii naweza kutizama movies au series na kuzidownload pia kutumi SPlayer. Yani hamna tozo ni bando lako tu.

Hii app ni kwa watumiaji wa os ya Android tu kwa sasa. Unaweza kuinstall kwenye tv au kifaa chochote chenye os ya Android
View attachment 2995748View attachment 2995750View attachment 2995751

TUSANUE APP YOYOTE INAYOKUWEZESHA KU-PUSH MIPANGO.

KARIBUNI WATAALAMU.
 
Screenshot_20240521-093016.png
 
Back
Top Bottom