Tusanue apps zipi unatumia zinakurahishia kwenye nyanja tofauti

Tusanue apps zipi unatumia zinakurahishia kwenye nyanja tofauti

Tusanue apps zipi unatumia kwenye simu, Android OS au iOS Ambazo zinakurahishia kwenye nyanja tofauti.
Tuambie na namna ya kuzipata...

TUSANUE APP YOYOTE INAYOKUWEZESHA KU-PUSH MIPANGO.

KARIBUNI WATAALAMU.
Toa link ya ku download hiyo app ya mwanzo
 
Apps ambazo haziji default na simu ninazo zitumia kwa umuhimu ni

Whatsap Business
kwaajili ya ku keep up na wateja wangu, magroup kwa ndugu jamaa na marafiki

Crdb app
kwaajili ya transactions popote pale

Jf app
kwaajili ya ku mingle na wananzengo na kupata briefing ya yote yanayojiri mitandaoni

Google map
kwaajili ya kuwafikia wateja wangu na popote ninapotaka kwenda

1xbet
Kwaajili ya kudownload maokoto 😂

Badoo kwa sie tunao safiri sana inatusaidia kwa hook up za fasta fasta ukiwa lonely ugenini 😂
 
Natumia SmartBusiness kusimamia biashara yangu
https://play.google.com/store/apps/details?id=sb.swahilibuy.com

1716878660683.png
 
Kunayoyo anajua tumia app inaitwa kodi?

Hiyo unaweza pata new movie na channel mbali mbali kuangalia live TV

free-iptv-movies-series.jpg
 
ila hapa bong bado sana kwenye kutengeza app zaidi ya copy and paste tu kwenye kila sehem hapa

inatakiwa kufanya kitu au kutengeza app ambazo bado hazifanyiwa mawazo ya hapa bongo kwenye matumizi
 
Back
Top Bottom