Apps ambazo haziji default na simu ninazo zitumia kwa umuhimu ni
Whatsap Business
kwaajili ya ku keep up na wateja wangu, magroup kwa ndugu jamaa na marafiki
Crdb app
kwaajili ya transactions popote pale
Jf app
kwaajili ya ku mingle na wananzengo na kupata briefing ya yote yanayojiri mitandaoni
Google map
kwaajili ya kuwafikia wateja wangu na popote ninapotaka kwenda
1xbet
Kwaajili ya kudownload maokoto 😂
Badoo kwa sie tunao safiri sana inatusaidia kwa hook up za fasta fasta ukiwa lonely ugenini 😂