Tuseme tu ukweli, ujenzi unahitaji kujinyima sana

Sitasahau wakati najenga msingi, niliporudi site jioni, nikakuta wamemwaga zege kwenye nguzo na imekaa upande, nikasema mbona nguzo hii sijaielewa, fundi uchwara akaniambia ikikauka tutatindua kidogo tu inakaa squire. Nikasema hapana, nikamtafuta fundi mmoja alikuwa anajenga site nyingine jirani kabisa na kwangu, tukakubaliana tubomoe inawezekana chini hakusuka kitako na kumwaka zege la uji, kufukua tukakuta jamaa kakunja nondo akaizamisha kwenye udongo dadeki!! Nikampigia fundi akaja kuona uozo wake, nilimfyatua na mkanda begani akainama nikalala naye chini alikula kipigo cha mbwa Koko hatasahau.
 
Alikua kashakuibia mzee😀😀
 
Nilipata Stress baada ya kupiga mahesabu ya kupaua nyumba yangu iliyotosha 9M. Badala yake ikafika 14M. Nilichanganyikiwa.
Stress gan ulipata au ulipata fundi alikupa bei sna za kupaua nyumba yako karibu tukuasaidie kkupa mafundi bola na wazuri na wenyew weled na kazi zao na mbao utapata kwa bei nafuu sna wasilian nasi 0782 425190.
 
Asante next time. Fundi alinipa design kaniambia sijui British vs French. Mwisho wa siku kwangu niliona gharama ziliongezeka kinyume na matarajio.
 
Fundi kaniambia et kuta atainua wa million tatu!!!!

Vyumba vipo vi5
Nkaona ujinga hu ngoj nili pozi njichange
Wakat naendelea kawaza kuna mwingine kaomba kazi atajenga kwa laki9
Nae bado nnamfikilia hapa

Kuna fundi kaniambia wanajenga kwa 200 tofali moja

So unahesabu tofali unazidisha mara 200 unamlipa mnaachana
 
Ujenzi wetu vijana wengi wa Kitanzania ni wa gharama kubwa kutokana na sababu zifuatazo

1. Kujenga bila ya kuwa na plan (Phases)
mfano mtu anaweza akaanza kujenga nyumba akiwa na milioni kumi.. lakini kiuhalisia hajapiga hesabu nyumba yake gharama kamili ni kiasi gan..

wala haja anticipate gharama za uendeshaji mradi ambazo haziko wazi.. kama vile usafiri wa material.. upatikanaji wake.. gharama za maji.. na
vitendea kazi vingine.. anajikuta katika ile kumi 10% hadi 20% inaingia kwenye hidden charges ambazo hakuzifanyia utafiti..

matokeo yake pesa inakata.. nyumba haijafikia ambapo alitegemea ifike.. huku akiwa kabakisha material ingine lakin hana pesa ya uendeshaji mradi .. hapo unajikuta mtu anapiga gape la miaka mingine kama 2 - 5 ndo walau aanze tena kusogeza nyumba.. lakini ile material haina ubora wa kutumika tena

2. sababu ingine ni kujenga kutokana na jinsi pesa inavyopatikana yaani unapata 2m unashusha tofal.. unakaa miez sita unapata 2m unaita fundi mnanunua cement, mchanga na mengineyo mnasogeza kozi mbili tatu.. ujenzi wa hiv unajikuta unatumia gharama kubwa zaid hadi nyumba iishe..

na ukitumia 5+ yrs katika ujenzi utakuta nyumba imeanza kuchoka kabla haijaisha.. sababu nyumba ambayo ni pagala au haikaliwi inachakaa haraka zaid.. kuliko inayokaliwa

3. Kutumia mafundi wetu waliojifunzia ujenzi mtaan ambao kiuhalisia hawana utaalam wa ujenzi.. yeye anajua kupanga tofali.. wamekariri vitu vingi tu ambavyo wanatuingiza chaka.. maana tunawatumia wao kama washauri wa kiufundi kumbe na wao watupu.. mbaya zaidi hawajui kuwa hawajui

kwa hiyo unajikuta utatumia gharama nyingi kurekebisha makosa .. ndo maana wanaaema ujenzi wa kimaskini hauishi.. sababu fundi wa mtaan atakupa gharama ndogo.. ila kila leo utajikuta unarekebisha hiki au kile .. iwe sababu ilikuwa ni ushauri mbaya wa kiufundi.. au ushauri mbaya wa kununua vitu feki ambavyo havidumu.. aidha amefanya makusudi au bila kujua

hata mara baada ya nyumba kuisha.. mara mabat yanavuja.. mara nyufa zimeongezeka.. mara mbao za paa zina hiki.. mara milango na grills kuna shida yaan kila mwaka walau una kitu cha kurekebisha.. iwe mfumo wa maji.. taka au maji safi au umeme au nyumba yenyewe..

yote kwa yote changamoto za ujenzi zinakuwa kubwa zaid kama ndo unajenga ujenz wa kudunduliza.. maana kichwani akili yako itakuwa inawaza unafuu kwenye kila kitu kuliko ubora wa kitu.. kuanzia ufundi, vitendea kazi hadi material yenyewe.. mwisho wa siku unajikuta umeingia gharama zaid ..

kikubwa hataka kama unajenga ujenz wa kudunduliza hakikisha una consider kila kitu na kila kila hatua umeifanyia upembuzi yakinifu..

na njia rahis ya kufanya hata kama huna ABC za ujenzi kama umepanga kuanza ujenzi desemba ww leo hii tafuta mafundi hata wa 3 au wa 5 tofauti nenda nao site kila mtu na mda wake bila wao kujua hata ukitumia gharama kidogo sio mbaya

kaa nao chini wahoji wakupe mchanganuo kiufundi.. wala usihangaike nao kwenye gharama waache wataje gharama zao sababu hapo ww unataka kujua je unaweza kumtumia kama mshauri wa ufundi na anajua anachokifanya?, hapo ww unawafanyia usaili wa utaalam wao ni wa kiwango gani

katika mafundi wa tano utakuja kujua yupi anajua kupanga tofali tu lakini hana utaalamwa ujenzi na yupi kabobea kwenye nini.. itakupa picha nani unaweza mtumia kwenye level ipi kama ni full package au ama la..

unawahoji kuanzia ufundi wao hadi ubora wa material zikakazo tumika na kila jibu akupe sababu kwa nn anahis hiki bora kuliko hiki.. kama amekariri utajua tu..

Mafundi wetu wengi wa mtaan iwe ujenzi, umeme au magari hawajuagi kusema kitu flan sijui.. ndo wanatuingizaga sana hasara
mwamba akili yako imenifaa hapa nilipo.

good knowledge
 
Ilibaki kazi ya kufanya finishing kuweka gypsum Chumba na sebule Tu

Fundi akaja akaniambia inahtajika 500k akimaanisha kazi itakua na

awamu mbili

Awamu ya 1 ni kuja kupga boundary na kufunga Gypsum Boards

Awamu ya 2
ni kuja kufanya skimming,na Rangi wanakua wamemaliza.

Nikakaaa nikatafakari weee baada ya miezi kadhaa nikawaita wapige kazi

hapo moyo unahisi kabisa nimepgwa (ila sikua na namna) wakamaliza kweli nikakabidhiwa

kazi AISEEE ile pesa ni sawa na maajabu waliyoyafanya,Japo iliuma ila nili ridhika na kazi yao.

NEXT TIME

Mchezo wangu ule ule ila saivi nikasema hapana siwezi tumia 500k kwa chumba na sebule tu

nikatafuta mafundi nijuapo nikapata wakupga Kazi yote Full kwa 150k nikampa kazi,Kazi ikaanza

kwakweli kilichonikuta na kazi nilivyokuja kukabidhiwa eti ndio tayari imeisha walahi niliishia kuwapa 100k

Tangu hiyo siku nimekoma tumia Mafundi wa bei za kitonga Nimekoma,Nikiwa na mafundi wa 5 nikiwa interview

mwenye ataniambia BEI KUBWAAA ndio nitampa kipaumbele kujua kwann yeye ni bei kubwa,staki mafundi cheap cheap mimi...sitaki aseeeee.
 
Fundi kaniambia et kuta atainua wa million tatu!!!!

Vyumba vipo vi5
Nkaona ujinga hu ngoj nili pozi njichange
Wakat naendelea kawaza kuna mwingine kaomba kazi atajenga kwa laki9
Nae bado nnamfikilia hapa
Mtumie huyo alietaka 3M mkuu

Najua kakuanzia 3m kwasababu anajua mtashushana bei so mshushe shushe

KUMBUKA hatokua peke yake atakua na wasaidizi ambao atawalipa pia si kwamba

hela atayochukua ataikunja yote mfukoni, lakini pia Fundi hawezi ropoka hela mingi hivyo

kama hajiamini,kabla hujamchukua Mwambie siku akipata kazi akupgie uende huko site kwake

ukamkague uone anavyopga kazi... Mimi mafundi wangu huwa nawapata kwenye ma site ya watu

nikiwa napita mahali nikaona nyumba inasimamishwa nikaielewa Huwa naenda pale nachukua namba za fundi mkuu

katika kila ninachojenga mafundi zangu wote sitafutiwi huwa nawatafuta mwenyewe na wote nawakutaga kwenye site

za watu wakipga kazi wakiwa huko huko ndio nachukua Namba zao za simu,Epuka kutumia mafundi wakupointiwa

mtu asikwambie Flani ni fundi mzuri hata kama akisifiwa na watu 20 isiwe kigezo chakumtumia "yashanikuta mwenzako"

Kila mtu ana vigezo vyake anapotafuta fundi mzuri,kwangu mimi fundi tu asie na Vifaaa vya maana vya kazi yake kwangu huyo "sio fundi bora" Fundi lazima awe na zana/vitendea kazi.

Nilipataga fundii wa wiring wakupointiwa yule jamaa yaliyonisibu sikuamini kama ni yule fundi anaesifiwa na kila mtu sikuelewa sifa zake zinatoka wapi.
 
Ahsante kunikumbusha mkuu
 
changamoto niliyoipata wakati najenga nyumba yangu ndogo mafundi waliniibia mno kwani nilikuwa si muelewa wa vitu, yaani fundi alikuwa kila maora aniambie kimeisha hiki mara kile kumbe anakwapua pembeni yaani acha tu mpaka nimeamliza yaani nimekoma sana
 
Mtumie huyo alietaka 3M mkuu

Najua kakuanzia 3m kwasababu anajua mtashushana bei so mshushe shushe

KUMBUKA hatokua peke yake atakua na wasaidizi ambao atawalipa pia si kwamba

hela atayochukua ataikunja yote mfukoni, lakini pia Fundi hawezi ropoka hela mingi hivyo

kama hajiamini,kabla hujamchukua Mwambie siku akipata kazi akupgie uende huko site kwake

ukamkague uone anavyopga kazi... Mimi mafundi wangu huwa nawapata kwenye ma site ya watu

nikiwa napita mahali nikaona nyumba inasimamishwa nikaielewa Huwa naenda pale nachukua namba za fundi mkuu

katika kila ninachojenga mafundi zangu wote sitafutiwi huwa nawatafuta mwenyewe na wote nawakutaga kwenye site

za watu wakipga kazi wakiwa huko huko ndio nachukua Namba zao za simu,Epuka kutumia mafundi wakupointiwa

mtu asikwambie Flani ni fundi mzuri hata kama akisifiwa na watu 20 isiwe kigezo chakumtumia "yashanikuta mwenzako"

Kila mtu ana vigezo vyake anapotafuta fundi mzuri,kwangu mimi fundi tu asie na Vifaaa vya maana vya kazi yake kwangu huyo "sio fundi bora" Fundi lazima awe na zana/vitendea kazi.

Nilipataga fundii wa wiring wakupointiwa yule jamaa yaliyonisibu sikuamini kama ni yule fundi anaesifiwa na kila mtu sikuelewa sifa zake zinatoka wapi.
nataka kujenga flemu tatu za kawaida je matofali mangapi yanatakiwa na cement mifuko mingapi?
 
Ujenzi wetu vijana wengi wa Kitanzania ni wa gharama kubwa kutokana na sababu zifuatazo

1. Kujenga bila ya kuwa na plan (Phases)
mfano mtu anaweza akaanza kujenga nyumba akiwa na milioni kumi.. lakini kiuhalisia hajapiga hesabu nyumba yake gharama kamili ni kiasi gan..

wala haja anticipate gharama za uendeshaji mradi ambazo haziko wazi.. kama vile usafiri wa material.. upatikanaji wake.. gharama za maji.. na
vitendea kazi vingine.. anajikuta katika ile kumi 10% hadi 20% inaingia kwenye hidden charges ambazo hakuzifanyia utafiti..

matokeo yake pesa inakata.. nyumba haijafikia ambapo alitegemea ifike.. huku akiwa kabakisha material ingine lakin hana pesa ya uendeshaji mradi .. hapo unajikuta mtu anapiga gape la miaka mingine kama 2 - 5 ndo walau aanze tena kusogeza nyumba.. lakini ile material haina ubora wa kutumika tena

2. sababu ingine ni kujenga kutokana na jinsi pesa inavyopatikana yaani unapata 2m unashusha tofal.. unakaa miez sita unapata 2m unaita fundi mnanunua cement, mchanga na mengineyo mnasogeza kozi mbili tatu.. ujenzi wa hiv unajikuta unatumia gharama kubwa zaid hadi nyumba iishe..

na ukitumia 5+ yrs katika ujenzi utakuta nyumba imeanza kuchoka kabla haijaisha.. sababu nyumba ambayo ni pagala au haikaliwi inachakaa haraka zaid.. kuliko inayokaliwa

3. Kutumia mafundi wetu waliojifunzia ujenzi mtaan ambao kiuhalisia hawana utaalam wa ujenzi.. yeye anajua kupanga tofali.. wamekariri vitu vingi tu ambavyo wanatuingiza chaka.. maana tunawatumia wao kama washauri wa kiufundi kumbe na wao watupu.. mbaya zaidi hawajui kuwa hawajui

kwa hiyo unajikuta utatumia gharama nyingi kurekebisha makosa .. ndo maana wanaaema ujenzi wa kimaskini hauishi.. sababu fundi wa mtaan atakupa gharama ndogo.. ila kila leo utajikuta unarekebisha hiki au kile .. iwe sababu ilikuwa ni ushauri mbaya wa kiufundi.. au ushauri mbaya wa kununua vitu feki ambavyo havidumu.. aidha amefanya makusudi au bila kujua

hata mara baada ya nyumba kuisha.. mara mabat yanavuja.. mara nyufa zimeongezeka.. mara mbao za paa zina hiki.. mara milango na grills kuna shida yaan kila mwaka walau una kitu cha kurekebisha.. iwe mfumo wa maji.. taka au maji safi au umeme au nyumba yenyewe..

yote kwa yote changamoto za ujenzi zinakuwa kubwa zaid kama ndo unajenga ujenz wa kudunduliza.. maana kichwani akili yako itakuwa inawaza unafuu kwenye kila kitu kuliko ubora wa kitu.. kuanzia ufundi, vitendea kazi hadi material yenyewe.. mwisho wa siku unajikuta umeingia gharama zaid ..

kikubwa hataka kama unajenga ujenz wa kudunduliza hakikisha una consider kila kitu na kila kila hatua umeifanyia upembuzi yakinifu..

na njia rahis ya kufanya hata kama huna ABC za ujenzi kama umepanga kuanza ujenzi desemba ww leo hii tafuta mafundi hata wa 3 au wa 5 tofauti nenda nao site kila mtu na mda wake bila wao kujua hata ukitumia gharama kidogo sio mbaya

kaa nao chini wahoji wakupe mchanganuo kiufundi.. wala usihangaike nao kwenye gharama waache wataje gharama zao sababu hapo ww unataka kujua je unaweza kumtumia kama mshauri wa ufundi na anajua anachokifanya?, hapo ww unawafanyia usaili wa utaalam wao ni wa kiwango gani

katika mafundi wa tano utakuja kujua yupi anajua kupanga tofali tu lakini hana utaalamwa ujenzi na yupi kabobea kwenye nini.. itakupa picha nani unaweza mtumia kwenye level ipi kama ni full package au ama la..

unawahoji kuanzia ufundi wao hadi ubora wa material zikakazo tumika na kila jibu akupe sababu kwa nn anahis hiki bora kuliko hiki.. kama amekariri utajua tu..

Mafundi wetu wengi wa mtaan iwe ujenzi, umeme au magari hawajuagi kusema kitu flan sijui.. ndo wanatuingizaga sana hasara
Daaah!!! Umejenga hoja zako vizuri sana, tunashukuru kwa ABCs zako nzuri.
 
nataka kujenga flemu tatu za kawaida je matofali mangapi yanatakiwa na cement mifuko mingapi?
Mtafute Fundi ndio atakupa majibu kulingana na Ukubwa wa Chumba/Vyumba vyako.

Upana uwe ngapi Urefu kwenda Juu uwe Futi ngapi kisha ndio atakwambia idadi ya matofali yanayohtajika kulingana na mahitaji ya frem zako.

Kila frem ina ukubwa tofauti kwahyo huwezi pata jibu la moja kwa moja ni matofali mangapi au cement mifuko mingapi.
 
asante mkuu ngoja nifanye hivyo
 
Ujenzi unahitaji usimamizi was halo ya juu,mafundi walijenga ukuta viziri kwenye kufunga mbao za linta tofali zitaingia kwa ndani badala ya kurekebisha hizo kozi kwa kuzijenga viziri Cha ajabu walimwaga linta hi yohivyo,marekebisho kwa baadae yanakuwa makubwa
 
Back
Top Bottom