Opportunity Cost
JF-Expert Member
- Dec 10, 2020
- 9,034
- 6,913
Gharama kubwa au ndogo? Mkoani na nyumba ya vyumba 3,one master ,jiko ,stop,sebule,public toilet na vivaranda 2.Umejenga wapi mkuu kwa gharama hiyo? Ni nyumba ya vyumba vingapi?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Gharama kubwa au ndogo? Mkoani na nyumba ya vyumba 3,one master ,jiko ,stop,sebule,public toilet na vivaranda 2.Umejenga wapi mkuu kwa gharama hiyo? Ni nyumba ya vyumba vingapi?
Sijajua kwa mkoani, ila kwa Dar hiyo burget ni ndogo....japo nasikia kuna baadhi ya maeneo kama Chanika wanajenga kwa gharama hiyo...ila maeneo kama Mbezi, Goba ni ndogo.Gharama kubwa au ndogo? Mkoani na nyumba ya vyumba 3,one master ,jiko ,stop,sebule,public toilet na vivaranda 2.
Hadhi ya eneo na eneo na pia kila mtu ana requirements na standards za nyumba anayoitaka,kwa hiyo ni sahihi hiyo bajeti kuwa ndogo .Sijajua kwa mkoani, ila kwa Dar hiyo burget ni ndogo....japo nasikia kuna baadhi ya maeneo kama Chanika wanajenga kwa gharama hiyo...ila maeneo kama Mbezi, Goba ni ndogo.
duh hatari sana kupaua ni noma aisee asikwambie mtuMi bado kupaua ila mh!!!! Bati tu nimeambiwa Milioni 4 na Jua hili linavyochoma hadi Mifuko nipo hoi!!!!
Sio noma tupu sema noma na nusu Mkuuduh hatari sana kupaua ni noma aisee asikwambie mtu
Wabaya sana haoWizi wa vifaa na mafundi.Fundi aliyenishangaza Sana ni WA vioo na rangi huyu nilimwamini sana kwa kuwa nilisikia kuwa ni Mchungaji wa Kanisa x lkn ajabu alinifanyia uhuni,nikabaki mdomo wazi.
Nilijua utanijengea kumbe mafundi unawabana pia.AiseMafundi ni kubanana kama luba
Nyumba yangu mpaka inakamilika idara zote ilinichukua 10 yrs kwa sababu nikipata milioni moja napeleka only laki tano ili maisha mengine yaelendelee na kwa kweli sikupata maumivu yoyote...Ukitaka kujenga kwa haraka na pesa huna hapo ni kweli unahitaji kujinyima.
Ukitaka kujenga kwa haraka na pesa unazo hauhitaji kujinyima kwa sababu pesa ya bata utakuwa nayo na pesa ya kujenga itakuepo.
Na ukitaka kujenga haraka na pesa hauna hapa ndio tatizo utaona kila kitu ni kufuja kwa sababu unataka haraka.
Jenga taratibu huku unakula maisha,ukifa hiyo nyumba mwanao atauza na pesa atatumia kwa mambo mengine,au ataimalizia na kukaa yeye na vile itakavyouzwa unaweza kusema kwamba aliyeijenga hakujinyima,yani inauzwa kana kwamba aliyejenga hakupata tabu,inauzwa kana kwamba aliyejenga hakuwa na shida nayo yaaaaani,inauzwa kana kwamba ni mzigo wa fitina utawagombanisha ndugu yaani,hiyo ni nyumba yakoo mkuu.
Nashangaa mtu anatumia 80% ya kipato chake kujengea,wakati wadau werevu hutumia 30% ya kipato kujengea.
Hakuna haja ya haraka,fanya haraka kutafuta KIWANJA.
Kuna tofauti gani kwenye gharama za kupangisha kwa miaka 30 na kuishi kwenye nyumba yako uliyojenga ndani ya hiyo miaka 30?Kujenga nyumba ya "kuishi" ni kupoteza rasilimali.. Jenga nyumba ya kuuza au kupangisha.. full stop..
Wanaojinyima wanajenga nyumba za kuishi na hapo ndipo fikra zao zinapoishia..
Kuwabana ni kwamba upo sitte full time...hawa ukiondoka utakuta mlango wa garage unafungikia kuelekea ndani. Vibarua ndio kabisaaaa ata kama ni baba yako akili zao zakijinga sana.Nilijua utanijengea kumbe mafundi unawabana pia.Aise
Yeah sureKuwabana ni kwamba upo sitte full time...hawa ukiondoka utakuta mlango wa garage unafungikia kuelekea ndani. Vibarua ndio kabisaaaa ata kama ni baba yako akili zao zakijinga sana.
Kuna tofauti gani kwenye gharama za kupangisha kwa miaka 30 na kuishi kwenye nyumba yako uliyojenga ndani ya hiyo miaka 30?
Hahah [emoji23]Nimesoma comments zote za wadau nimeishia na msimamo kuwa maisha mafupi bear tamu
Msinitanie baba yangu ana nyumba tatu mbili kapangisha alafu watoto tupo watatu tu Tena wawili wakike alafu eti nianze kuwa na wasiwas sijui kujenga badala ya kununua mapira makali Kama vile allteza au harrier.ngoja Kwanza tutambe kwanza roadHahah [emoji23]
Kula bia tu mjuba
Nakubali mkali [emoji23][emoji1696]Msinitanie baba yangu ana nyumba tatu mbili kapangisha alafu watoto tupo watatu tu Tena wawili wakike alafu eti nianze kuwa na wasiwas sijui kujenga badala ya kununua mapira makali Kama vile allteza au harrier.ngoja Kwanza tutambe kwanza road
Una namba zake huyo fundi, tofali moja nilijengewa kwa Tsh 300, mwaka Jana 2021Kuna fundi kaniambia wanajenga kwa 200 tofali moja
So unahesabu tofali unazidisha mara 200 unamlipa mnaachana