nchi za africa kiujumla kutoka kwenye mkono wa tegemezi ni ndoto labda tuhame sayari maana misingi ya kutegemea wazungu ilianza miaka ya ukoloni na majembe ya kufanya africa iwe huru wote wameshatangulia labda tusubili miujizaKatika kipindi hiki ambacho enzi za Anna Makinda, Tundu Lissu alikiita 'silly season' tutasikia uwongo na upotoshaji mwingi.
Tunaambiwa eti Tanzania kwa sasa hakuna Uhuru. Yaani sasa hivi Watanzania hatuko huru.
Ukweli ni kwamba mtu au nchi haiwezi kuwa huru kama mtu au nchi hiyo ni mtegemezi. Kwa mfano mtoto kama mahitaji yake mengi anategemea kuyapata kwa wazazi wake basi na uhuru wake unategemea matakwa ya hao wazazi wake. Hawezi kwenda disco kama wazazi wake hawapendi. Hawezi kurudi nyumbani saa sita usiku bila ruhusa ya wazazi wake. Na kadhalika.
Hivyo hivyo kwa nchi. Kama mahitaji ya nchi hasa yale ya msingi yanategemewa kupatikana kutoka nchi nyingine, tulikuwa tunaziita nchi hisani basi uhuru wa nchi hiyo utategemea matakwa ya hizo nchi hisani.
Ukweli ni kuwa nchi yetu kwa sasa si nchi tegemezi tena. Nchi yetu sasa inajitegemea kwa mahitaji yake yote. Hatutegemei nchi hisani. Hatutembezi bakuli la kuomba omba msaada kwa nchi yo yote. Na huko tulikokuwa tunaenda kuombaomba rais wetu kwa kipindi cha miaka mitano hajaenda hata kuwasalimia.
Nchi yetu inajitegemea kwani ni tajiri. Hivyo uhuru wetu wa kuamua mambo yetu umepaa sana. Hatuogopi nchi ye yote katika maamuzi yetu maana tunajitegemea. Wawekezaji kutoka nchi zingine ambao hatutapata angalao 50:50 win-win situation hawana nafasi hapa. Tumewatungia sheria ya natural resources. Wanune wasinune shauri yao.
Ushoga tumewaambia wazi kwamba hapa kwetu hatuutaki. Tumeutungia sheria. Wanune wasinune shauri yao. Wamkataze Makonda kukanyaga nchini kwao shauri yao.
Tumeweka udhibiti wa kisheria wa upashanaji wa habari unaozingatia professionalim ya taaluma ya habari. Tumepiga marufuku kwa makajanja wa taaluma hii. Haiwezekani wananchi wetu wawe wanalishwa taarifa za habari za uongo, za matusi, zisizokuwa balanced, za uchochezi, zinazodhalilisha utu na heshima ya wenzako nk. Uhuru wako unaishia pale pua yangu inapoanzia: hii ndiyo principle ya uhuru po pote duniani. Kuna limit ya uhuru wa mtu kwa mtu, na limit hiyo ni pale pua ya mwenzako inapoanzia.
Tutofautishe kukopa kwenye mabenki ya ndani au ya kimataifa. Mikopo siyo hisani. Mikopo ya mabenki ni biashara ya haya mabenki na yako hapo kwa ajili ya biashara hiyo: kukopesha kwa interest. Huwezi kukopa kama wewe ni fukara kwani hutaweza kurejesha huo mkopo. Wanaokopa benki ni matajiri. Amerika ndiyo inaongoza duniani kuwa na madeni makubwa ya mikopo ya mabenki. Na ukikopa hiyo hela uliyokopa inakuwa ni pesa yako ya ndani. Ni tahira tu atakayekuambia eti pesa yenyewe unayoringia ni ya mkopo. Si na yeye akakope kama anaweza, masikini hakopesheki.
Ukweli sisi tunajitegemea. Mapato ya TRA pekee yake yameweza kupanda toka wasitani wa Tsh 800 billion mwaka 2015 kwa mwezi hadi Tsh 1.5 trillion mwaka 2019 na matarajio ni kuwa Tsh 2 trillion kwa mwezi ifikapo 2021. Mapato yasiyotokana na kodi nayo yamepanda hadi kufikia Tsh trillion zisizopungua moja kila mwezi. Matumizi yasiyo ya lazima tumeyapunguza hadi kufika 0%. Hivyo hatutegemei hisani kutoka kwa ye yote. Tuko huru kabisa. Tunatunga sheria tunazozitaka wenyewe bila kuingiliwa na nchi au mtu ye yote.
Humu tatizo hatuonani yaani wewe wa kunielimisha mimi😇Hujui. Nitatafuta siku nikuelimishe maana ya neno ubeberu.
Dokta wa mitishamba huyoNilifikiri ni dokta akiri kumbe akili basi sawa maana akiri huna labda hiyo akili
For the shits you wrote, you don't qualify to be a learnt intellectual! You are just an idiot who owns CCM membership card!This thread was not meant for those with small brains (anacephally) like you. So you better just keep quiet.
Yaani kwa CCM yetu ni kama vile hakuna MAISHA nje ya madaraka. Mazoea mabaya kweli hayo. Yamevuruga hadi chaguzi zetu. Sasa wanataka vyote kabisa. Urais, Bunge na Halmashauri zote kabisa. Vijiji na mitaa walishachukua vyote.Katika kipindi hiki ambacho enzi za Anna Makinda, Tundu Lissu alikiita 'silly season' tutasikia uwongo na upotoshaji mwingi.