chizcom
JF-Expert Member
- Jul 31, 2016
- 8,680
- 18,035
Urubani wa siku hizi hata usiyejua unaweza kusomea ili mradi zile kanuni ambazo utafata kwenye elimu zinazofundishwa.
Ukilinganisha na zamani yani ndege nyingi zilikuwa zinaitaji marubani zaidi ya watu mpaka wanne kutegemea na aina gani ya ndege.
Ukilinganisha na leo yani kila kitu kimewekwa kirafiki hata kama utapata tatizo au kujua shida unaweza kutambua na kujua.