Auto pilot Iko siku nying mkuu ama unaongelea ipiUrubani nowdays umekuwa simplified kutokana na mapinduzi makubwa ya kiteknolojia yaliyofanyika katika AI yaani (Articial Intelligence) na kuweza kubuni vitu kama Auto Pilot.
Hii hapana kwa udereva mtu yeyote Sawa lakini napo si kwa asilimia zote kwamba mtu yeyote.Urubani ni sawa sawa na udereva wa gari.
Kama una nia ya kujua.. na school fees unayo ya kulipia chuo mtu yeyote anakuwa rubani.
Kuwa daktari ama engineer ni kazi ngumu kuliko kuwa rubani
Advanced and well modern Auto Pilot yaani zinazotumia AI zaidi.Auto pilot Iko siku nying mkuu ama unaongelea ipi
Rubani ni dereva wa ndege.Gharama ya mafunzo ya Urubani ipo juu na wanaimudu wachache ndiyo maana wanaonekana kama watu special.Hawa ni maofisa usafirishaji wa anga kama walivyo maofisa usafirishaji wa bodaboda au Toyo.Urubani wa siku hizi hata usiyejua unaweza kusomea ili mradi zile kanuni ambazo utafata kwenye elimu zinazofundishwa.
Ukilinganisha na zamani yani ndege nyingi zilikuwa zinaitaji marubani zaidi ya watu mpaka wanne kutegemea na aina gani ya ndege.
View attachment 3258351
Ukilinganisha na leo yani kila kitu kimewekwa kirafiki hata kama utapata tatizo au kujua shida unaweza kutambua na kujua.
View attachment 3258353
Hii hapana kwa udereva mtu yeyote Sawa lakini napo si kwa asilimia zote kwamba mtu yeyote.
Mtu anaweza akawa na status za periodic psychiatric akawa dereva lakini si rubani,dereva anawrza kuwa hata mtu ambaye hajaenda shule darasa la msingi (shule ya msingi ama sekondari) na akawa dereva lakini si rubani.
Rubani anapaswa awe na ufahamu kuhusu jiografia kwa kina lakini si dereva
Sinswa na udereva wa gari, ina different rules kabisaa na anlot of regulationUrubani ni sawa sawa na udereva wa gari.
Kama una nia ya kujua.. na school fees unayo ya kulipia chuo mtu yeyote anakuwa rubani.
Kuwa daktari ama engineer ni kazi ngumu kuliko kuwa rubani
Heshima kwako dada yangu vipi siku hiz sikuoni jukwaani sana?unaendeleaje lakin dadda?Hujajifundisha kuruka na ungo kwa babu zako?
Huo ndio urubani wenye heshima.
Siku hizi yamerahisishwa sana yani una komand ndege kuomba request na ina kwambia kwenye mfumo utakwenda wapi na kiwanja gani.Hii hapana kwa udereva mtu yeyote Sawa lakini napo si kwa asilimia zote kwamba mtu yeyote.
Mtu anaweza akawa na status za periodic psychiatric akawa dereva lakini si rubani,dereva anawrza kuwa hata mtu ambaye hajaenda shule darasa la msingi (shule ya msingi ama sekondari) na akawa dereva lakini si rubani.
Rubani anapaswa awe na ufahamu kuhusu jiografia kwa kina lakini si dereva
Kupata division 4 Kuna ondoa dhana yakuifahamu jiographia? Hoja yangu ni mtu awe na basic knowledge ya jigrafia na basic educationMtoto wa JK amepata div 4 ila bado ameenda kusoma urubani
Bila kujali hayo ni lazima uwe na knowledge ya jiographiaSiku hizi yamerahisishwa sana yani una komand ndege kuomba request na ina kwambia kwenye mfumo utakwenda wapi na kiwanja gani.
View attachment 3258405