Tuseme ukweli kuhusiana na Bidhaa za Azam. Kuna mengi tunayanyamazia…

Ila turudi nyuma unakumbuka mwarabu alimfanya Nini mwafrika lakini enzi za utumwa
 
MKUU?
MIMI NINA SWALI?
 
Bob mbona kama umepaniki sana? Mbona haya ni mambo madogo tu huhitaji kuwa na makasiriko kiasi hicho. Maisha si magumu kama unavyoona ni rahisi sana.... Relaxe please. Cool down
Ww unayaona madogo lakini kibiashara ni makubwa sana na yana weza kukugharimu iwapo Azam watakushitaki kwa kuchafua jina la kampuni yao.

Unacho takiwa kabla ya kuleta tuhuma kama hizo uje na uthibitisho kutoka kwenye vyombo vinavyo husika ndani ya nchi.

Brand ya Azam imejengwa kwa muda mrefu na kwa mabilioni ya fedha si vizuri kuleta madai ya kuichafua kwa hoja zenu dhaifu.
 
Bidhaa za Azam zina miaka mingapi sokoni ?
 
Duuuh….Mara Azam kafuta channel kwenye visumbuzi vyake…ukigeuka uku Mara juice

Vijana tuna shida gani….kwenye bongo zetu ni wivu Au husda tu.
 
Naona waarabu tunawachukulia kama wabaguzi,wauaji n.k lakini nikiri wazi kwa muda niliokaa nao hasa wa U.A.E wapo hatarini kuliko sisi kila kitu ni cha kopo,kemikali,mafuta nyingi,sukari nyingi mpaka kuna muda najiuliza hawa watu within 10 yrs presha,moyo ni kitu cha kawaida sana.
 
Sijaendelea kusoma zaidi, ulivyotaja maziwa ya Azam tu nimeelewa, nashukuru kuwa ninajitambua na sijawahi kunywa hayo maziwa ambayo yamechukuliwa unga wa maziwa imported na kukorogwa. I'm serious kwenye issues za afya kuliko ushabiki
 
Ukitaka kujua kama tunapigwa, hadi kwenye maziwa haya yaviwandani mengi ni Unga,jaribu kuwauliza wale wanaotengeneza Cappuccino kwanini hawatumii yale, yan wakikosa maziwa wanaona bora watumie ya nje mf. (SA).
Ukinywa pure milk afu ukitest yale unaona kabisa mule sio!
 
Mkuu Azam ungeachana naye maana hutaeleweka... halafu hunA utakachopata. Mtu ana utAjiri wa trillions huko wakati wewe hata milioni mbili cash huna... Unakuja kuleta porojo.....kumhusu.. umekula lakini..
Akishakuwa na trillions automatically anakuwa na haki ya kutumaliza???
 
Aseee .... Mbona wewe ndio unaonekana haujielewi!!?? Unataka uthibitisho gani!!?
Hizi ni thibitisho mbili nilizoziona kwenye andiko lake...
1) Ililamikiwa Azam TBS wakatoa taarifa chemical hii (benzene) Haina tatizo ila tu ikichanganywa na chemical flani ndio itakuwa na madhara ...hiyo harua ya TBS ameiweka .. UNATAKA UTHIBITISHO GANI !!?? TBS Hapo wannakuwa wamethibitisha labda UIAKANE BARUA YA UTETEZI WA TBS KWA AZAM.
2) Ameiweka video ya juisi ya maekhe ya Azam ...na chemicals ambazo TBS walitetea kuwa hazikuwa pamoja katika kinywaji kile katika kinywaji hiki zipo pamoja , na waliosema zikiwa pamoja zina madhara!!?? Unataka uthibitisho gani na hapa.... Na pia katika hili kama unapinga kachukue juisi ya Azam ya embe piga picha ingredients...halafu uje upinge kuwa hizo chemicals hazipo.

Hapo ndio utakkuwa na haki ya kusema mwingine MUONGO hivyo nakuomba
1) Ukane barua ya TBS iliyoelezea hizo chemicals kuwa na madhara zikichanganywa pamoja.
2) Utuletee picha ya Azam juisi ya embe ambayo Ina ingredients tofauti na za hii video!!??
Karibu Kwa majibu ndugu mjumbe
 
hapa hakuna imani ila unapoteza muda wako bule bora ukalipoti mahakamani na ushahidi wako mbona ukiwashinda unalamba bingo
 
nenda mahakamani kuwakomboe wenzio sasa hiyo elimu yako inasaidia nn? hiyo ndio elimu ya mtu mweusi aimsaidii yeye wala jamaa zake wala watu walio mzunguka kazi kulalamika rais analalamika mbunge pia jaji mkuu pia hata watu wakawaida wanalalamika hakuna haja ya kusoma kama ndio hivi
 
Duuuh….Mara Azam kafuta channel kwenye visumbuzi vyake…ukigeuka uku Mara juice

Vijana tuna shida gani….kwenye bongo zetu ni wivu Au husda tu.
umasikini wa fikila unajenga chuki kwa matajiri vitu vingi vina madhara sigala pombe sumu ya magugu mashambani mbolea miziki mikubwa kila mtaa moshi wa magali moshi wa kuchomelea viuma kwenye majumba ya watu mabaa pombe kila mtaa rushwa kwa watumishi wa umma yeye kamuona azamu tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…