Tuseme ukweli kuhusiana na Bidhaa za Azam. Kuna mengi tunayanyamazia…

Tuseme ukweli kuhusiana na Bidhaa za Azam. Kuna mengi tunayanyamazia…

Nlishawahi kusoma na kuzungumzia kuhusuana na maziwa ya Azam. Watu wakaja leta ushabiki sana na ushabiki wa kipumbavu tu wa kidini n.k wanaokufa au kuathirika ni hawa hawa maskini. Matajiri hawanunui bidhaa poor kama za Azam.

Ukiangalia juice za maembe za Azam unaweza kuta zipo kama aina mbili moja rangi inakuwa inaenda kwenye weusi nyingine ina mng'ao but pia si pure maembe.

Msikilizeni zaidi jamaa akielezea upande wa Juice za Embe. Mimi kwa sasa natumia Juice ya Ukwaju angalau najua hii hawezi chakachua sana.

Tuambiane tu ukweli... Tusioneane haya kwa misingi ya huyu ni mwenzetu. Products nyingi za Azam ni very poor. Hata hizi Energy drinks za Azam na Mo si za viwango. Zinaharibu sana vijana kwa nguvu za kiume. Hasa boda boda.

View attachment 2505658

View attachment 2506304
Stay away from industrial foods, be it from Azam or elsewhere. PERIOD.
 
Mkuu Azam ungeachana naye maana hutaeleweka... halafu hunA utakachopata. Mtu ana utAjiri wa trillions huko wakati wewe hata milioni mbili cash huna... Unakuja kuleta porojo.....kumhusu.. umekula lakini..
We jamaa ni bure sana
Huyo azam angekuwa tajiri namba moja duniani lakini tuko hapa kujadili bidhaa anayotuuzia na madhara tunayopata na mamlaka zipo lazima hili suala lipate majibu
Ccm ina miaka mingi sana madarakani
Kama hawa ndiyo raia

Sent from my TECNO KC8 using JamiiForums mobile app
 
Watz kama huyu ndio wajinga wengi watz. Mtu anahoji ubora wa bidhaa. Ww unaleta habari za pesa!? Hebu jipige vibao viwili vya matako sema mimi ni mjinga rudia mara tatu
 
Watz kama huyu ndio wajinga wengi watz. Mtu anahoji ubora wa bidhaa. Ww unaleta habari za pesa!? Hebu jipige vibao viwili vya matako sema mimi ni mjinga rudia mara tatu
Hizo bidhaa umeshikiwa bunduki kuzinunua?
 
We jamaa ni bure sana
Huyo azam angekuwa tajiri namba moja duniani lakini tuko hapa kujadili bidhaa anayotuuzia na madhara tunayopata na mamlaka zipo lazima hili suala lipate majibu
Ccm ina miaka mingi sana madarakani
Kama hawa ndiyo raia

Sent from my TECNO KC8 using JamiiForums mobile app
Bidhaa za Azam zinatumika kwenye nchi zote za Afrika mashariki na kati unataka kuniambia serikali zote za nchi hizo hazijaona madhara ya hizo bidhaa za Azam ila ww mpiga punyeto kutoka buza ndo umeona hayo madhara ?
 
Mnaomshambulia mleta mada wote mnatukosea, kama mnaona habari sio ya kweli leteni ukweli wenu tuelimike wote, otherwise mnaonyesha ni jinsi gani mna akili ndogo.
kama anasema kweli aende mahakamani apeleke ushahidi wake akakutane na wakemia kutoka azamu akishinda analipwa fidia akishinda adaiwe fidia pia tato huyu hana chochete ndio maana anapiga kelele hapa
 
Nlishawahi kusoma na kuzungumzia kuhusuana na maziwa ya Azam. Watu wakaja leta ushabiki sana na ushabiki wa kipumbavu tu wa kidini n.k wanaokufa au kuathirika ni hawa hawa maskini. Matajiri hawanunui bidhaa poor kama za Azam.

Ukiangalia juice za maembe za Azam unaweza kuta zipo kama aina mbili moja rangi inakuwa inaenda kwenye weusi nyingine ina mng'ao but pia si pure maembe.

Msikilizeni zaidi jamaa akielezea upande wa Juice za Embe. Mimi kwa sasa natumia Juice ya Ukwaju angalau najua hii hawezi chakachua sana.

Tuambiane tu ukweli... Tusioneane haya kwa misingi ya huyu ni mwenzetu. Products nyingi za Azam ni very poor. Hata hizi Energy drinks za Azam na Mo si za viwango. Zinaharibu sana vijana kwa nguvu za kiume. Hasa boda boda.

View attachment 2505658

View attachment 2506304
Huyo ni mpotoshaji,kama kuna vitu haelewi awe anauliza..taaluma za watu hizo wamekaa class miaka ya kutosha plus researches na experiments. Watu mnakunywa takataka za mtaani kila siku halafu mnakuja kumpigia kelele mtu alowekeza billions kwenye production na yuko ISO certified. Msiwe vilaza
 
Yaan haya mavinywaji huwa nikiyaona huwa nahis kama nimeona sumu na huwa nikiyanywa nasikia uchungu mdomoni huwa nayatumia mara chache sana tena kwa bahati mbaya

iLa mwaka huu nimekuja kugundua ni biashara inayolipa sana ukitumia ubunifu wako,niko nampango wa kuyauza jumla na reja reja
 
We jamaa ni bure sana
Huyo azam angekuwa tajiri namba moja duniani lakini tuko hapa kujadili bidhaa anayotuuzia na madhara tunayopata na mamlaka zipo lazima hili suala lipate majibu
Ccm ina miaka mingi sana madarakani
Kama hawa ndiyo raia

Sent from my TECNO KC8 using JamiiForums mobile app
Bidhaa zimedhibitishwa na shirika la viwango, hizo bidhaa ni world standard,,
Rudi basi kutumia vitu vya asili,, lakini hata hivyo sikuhizi kuna GMO,,
 
Yaan haya mavinywaji huwa nikiyaona huwa nahis kama nimeona sumu na huwa nikiyanywa nasikia uchungu mdomoni huwa nayatumia mara chache sana tena kwa bahati mbaya

iLa mwaka huu nimekuja kugundua ni biashara inayolipa sana ukitumia ubunifu wako,niko nampango wa kuyauza jumla na reja reja
Hasa hizi bia na konyagi,, chungu balaa,
Kinywaji murua ni JAMBO ENERGY, ina radha nzuri sana🤷🏻‍♀️
 
Cause ya cancer ni unknown zingine ni assumptions tu.
Leta equation apa tuthibitishe cancer inatokeaje.
Lakini vitamin c ambayo ni ascorbic acid na benzene vinatengenezwa cancer endapo kinywaji kutakua exposed kwenye uv light Kwa muda mrefu. Vipi kama hujaweka juani?

Pia Asante Kwa kutufumbua macho[emoji123][emoji123][emoji123]
Mkuu umechapa sayansi hapo japo sijaelewa ila umetisha sana
 
Mmekuja kulinda dunia? Mbona hakuna ambacho hakina madhara dunia hii.
Mbona Kama wataka halalisha ma supa dip,masukari na maji kuwa Ni juisi ya embe na wakati Hakuna mwenye tenda ya kupeleka huko embe. Unapigwa favours mbalimbali na rangi Kama rangi za barafu ama Kama Ile supa dipu ya miaka 90+ ukinunua ya sh Mia unajaza dumu Lita tano mnakunywa juisi
 
kunyweni maji
Water is the best drink any creature can have.

Kwanza maji ndio dawa ya kwanza bora kuliko zote, inaondoa sumu mwilini (Detoxification)

Bado faida zingine kemkem

Maji safi zaidi na salama ni yapi?

Maji salama ni yale yaliyochemshwa yakachemka na yakipoa tia punje 1 ya kitubguu swaumu kwa maji lita 5. Maji ya dukani nayo yana preservatives kwahiyo si salama pia japo ni nafuu kuliko hizi soda na juice za viwandani

Tujali afya zetu
 
Mie Ni Kama wewe. Nikikaa na mtu ananiambia soda nikicheki Kama Kuna matunda naagiza otherwise maji ama supu ya ulimi ,mkia, kuku,samaki,maziwa fresh ,green tea na limao nakunywa kavu ama Kama hizo juisi za asilia ulivyosema.hata Kama kunywa Azam Ni kwa nadra mno tokea kiwanda kimefunguliwa labda hazidi Mara tano.

Yaani Hawa wahindi na waarabu watatumaliza afya zetu jamani na watalaamu wetu walivyo na njaa Kama viongozi wetu tu. Akipigwa fungu ama bahasha Nene ananyamaza kimya na kubakia kusifia Ni sawa Hawa wapinzani wamelambishwa asali kazi kutukana marehemu.

Cheki biashara za juisi Kama Prof Muhongo alivyodai kuwa ndio uwezo wa watanzania huku Kuna sayona,Mara Jambo,Mara Azam Mara Kuna Mo na zingine nyingi na Hawa wote Ni waarabu na wahindi na wanajulikana Tabia zao wanavyotufanyiaga hata wakiwa wametuajiri.
Afya Ni jukumu lako mwenyewe subiria eti serikali.

Yaani huwa naumia kumuona mama anampatia mwananye juisi eti Jambo mengo yaani natamani nimzabe kibao.

Haya Mambo wife nishamwambia kitambo naweza nikampatia talaka.
Ukwaju upo sokoni jamani na ubuyu mie nakuwa ndani.
Ingia kwenye party za hao matajiri sasa, utakutana na Redbull, fresh juice tena wananunua matunda Kariakoo na maji ya Kilimanjaro

Huwezi kukuta Mo energy au Azam Energy [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Usinipayukie mm huo umasikini wako haujasababishwa na mm bali umesababishwa na ujinga wako wa kutegemea udangaji kuishi mjini.

Leta udhibitisho wa kitaalamu kutoka kwenye vyombo vya kitaalamu vyenye dhamana ndani ya nchi ili kudhibitisha hayo madai yenu ya kipumbavu.

Bidhaa za Azam zinatumika kwenye nchi zote za Afrika mashariki na kati unataka kuniambia serikali zote hizo zisione madhara ya hizo bidhaa za Azam ila hayo madhara uyaone ww malaya wa bei rahisi kutoka sinza unaye subiri uliwe kwa sh 2000 ndo upate kula yako ya siku.
Bob mbona kama umepaniki sana? Mbona haya ni mambo madogo tu huhitaji kuwa na makasiriko kiasi hicho. Maisha si magumu kama unavyoona ni rahisi sana.... Relaxe please. Cool down
 
huyu ni fukara awewezi kumshitaki atawalipa nn?
Maskini wa akili na mali. Huwa mnasaidiwa afya zenu na bado mnashupaza shingo. Haya mambo yanataka wenye akili ndo huelewa. Hebu peleka mahakamani wakashtaki....hawawezi sababu kilichoandikwa ndicho kilichopo na sayansi siyo mihemko inasema hivi. Hapa mambo ya imani tuweke pembeni. Itumike akili tu. Pia usipaniki relax maisha ni rahisi sana.
 
Hii tabia ya kipumbavu ambayo imezuka humu jf kuchafua brand ya Azam bila ushahidi na udhibitisho ipo siku ita ugharimu uongozi wa JF.

Kuongea jambo ambalo linaweza kuwa chanzo cha kuchafua brand fulani bila udhibitisho ni kosa kubwa kisheria.
Mbona POvu sana. Ushahidi upi unataka wakati chupa ya juice ipo hapo? Jamani kwanini hampendi elimu? Ingia google angalia huo mchanganyiko....unaleta kansa ya damu. Hizo kemikali si nzuri. Hii sasa hutaji hata kufika form 4 angalia tu google. Usipaniki maisha si magumu kiasi hicho. Lingine waambie azam waende mahakamani uone watakavyochakazwa na kuharibu zaidi.
 
Back
Top Bottom