Dejane
JF-Expert Member
- Jan 1, 2014
- 50,587
- 71,492
Ya bomba unachemshaUhai pia ni maji ya azam
Masafi ni maji ya MO, tunywe ptodu
Yana ladha ya chumvi kama ya kwenye nanihilu so hayafai kwa kunywa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ya bomba unachemshaUhai pia ni maji ya azam
Masafi ni maji ya MO, tunywe ptodu
Yana ladha ya chumvi kama ya kwenye nanihilu so hayafai kwa kunywa
Kama ulichoandika ni sahihi zingeshaondolewa sokoni kitambo.Tuambiane tu ukweli... Tusioneane haya kwa misingi ya huyu ni mwenzetu. Products nyingi za Azam ni very poor. Hata hizi Energy drinks za Azam na Mo si za viwango. Zinaharibu sana vijana kwa nguvu za kiume. Hasa boda boda.
Biashara ya watu hiyo!Kama ulichoandika ni sahihi zingeshaondolewa sokoni kitambo.
Usidhani kama upo salama sana pia!, kutumia maji mengi ni hatari pia
😂😂😂😂😂😂Huu umaskini mkuu ni mbaya sanaMkuu Azam ungeachana naye maana hutaeleweka... halafu hunA utakachopata. Mtu ana utAjiri wa trillions huko wakati wewe hata milioni mbili cash huna... Unakuja kuleta porojo.....kumhusu.. umekula lakini..
Huwezi kutoa hoja mpak ulete nguvu za kiume wew jamaa🤧Nlishawahi kusoma na kuzungumzia kuhusuana na maziwa ya Azam. Watu wakaja leta ushabiki sana na ushabiki wa kipumbavu tu wa kidini n.k wanaokufa au kuathirika ni hawa hawa maskini. Matajiri hawanunui bidhaa poor kama za Azam.
Ukiangalia juice za maembe za Azam unaweza kuta zipo kama aina mbili moja rangi inakuwa inaenda kwenye weusi nyingine ina mng'ao but pia si pure maembe.
Msikilizeni zaidi jamaa akielezea upande wa Juice za Embe. Mimi kwa sasa natumia Juice ya Ukwaju angalau najua hii hawezi chakachua sana.
Tuambiane tu ukweli... Tusioneane haya kwa misingi ya huyu ni mwenzetu. Products nyingi za Azam ni very poor. Hata hizi Energy drinks za Azam na Mo si za viwango. Zinaharibu sana vijana kwa nguvu za kiume. Hasa boda boda.
View attachment 2505658
Kama hapo ukute wametoa pesa kwa TBS ila uhalisia hata ukiingia mtandaoni ukasoma utaelewa kuwa husababisha Cancer ya damu.Tangia baresa ajiunge na genge la waharifu kina rostam na gsm basi nikajua tu wazanzibar wametupania kutumaliza wabara
Hawawezi.Unafikiri wao wenyewe wanaotengeneza hizo juice ,soda wanazitumia
Ova
Unajua uchafu wa kwenye visima?Kisiman
Pesa ishatembea kwa sasa Azam anapitisha TBS notice mtandaoniKama ulichoandika ni sahihi zingeshaondolewa sokoni kitambo.
Anatakiwa apigwe fine, aelekezwe azirudishe kiwandani.Huwa sipendi habari za mihemko nachukua muda kufanya uchunguzi mwenye kwa hili nimegundua ni kweli sodium benzoate ikichanganywa na vitamin c(Ascobic acid) kuna uwezekano wa kufanyika chimical reaction sodium benzoate ikavunyika na kupatikana BENZENE plus other products.
Kwa hili TBS wachukue hatua. View attachment 2505835
Tumia muda nenda googleBiashara ya watu hiyo!
kuna watu wanaishi kwa kutegemea hiyo biashara.
sema hivi kama wangekuwa wanamjua muandishi yeye mkosoaji wangesha muondoa kitambo sana.
Wananishangazaga wamama, eti mtoto kaacha kunyonya anakuwa ana ratba ya juice kila siku mwehYaani huwa naumia kumuona mama anampatia mwananye juisi eti Jambo mengo yaani natamani nimzabe kibao.
Na Kuna mwingine alisema humu kuwa mwanae hali mpaka juisiWananishangazaga wamama, eti mtoto kaacha kunyonya anakuwa ana ratba ya juice kila siku mweh
Mbona hivyo vinywaji vinakaa sana juan huku vinapouzwa?Cause ya cancer ni unknown zingine ni assumptions tu.
Leta equation apa tuthibitishe cancer inatokeaje.
Lakini vitamin c ambayo ni ascorbic acid na benzene vinatengenezwa cancer endapo kinywaji kutakua exposed kwenye uv light Kwa muda mrefu. Vipi kama hujaweka juani?
Pia Asante Kwa kutufumbua macho[emoji123][emoji123][emoji123]
Anaye takiwa kuacha mihemko ni ww na huyo kapuku mwenzio mleta mada mnao zusha mambo bila udhibitisho.Acha mihemko jikite kwenye mada jibu hoja kwa hoja otherwise ni utoto