Tuseme ukweli kuhusiana na Bidhaa za Azam. Kuna mengi tunayanyamazia…

Tuseme ukweli kuhusiana na Bidhaa za Azam. Kuna mengi tunayanyamazia…

Tuambiane tu ukweli... Tusioneane haya kwa misingi ya huyu ni mwenzetu. Products nyingi za Azam ni very poor. Hata hizi Energy drinks za Azam na Mo si za viwango. Zinaharibu sana vijana kwa nguvu za kiume. Hasa boda boda.
Kama ulichoandika ni sahihi zingeshaondolewa sokoni kitambo.
 
Huwa sipendi habari za mihemko nachukua muda kufanya uchunguzi mwenye kwa hili nimegundua ni kweli sodium benzoate ikichanganywa na vitamin c(Ascobic acid) kuna uwezekano wa kufanyika chimical reaction sodium benzoate ikavunyika na kupatikana BENZENE plus other products.
Kwa hili TBS wachukue hatua.
SmartSelect_20230204-140233_Chrome.jpg
 
Hii tabia ya kipumbavu ambayo imezuka humu jf kuchafua brand ya Azam bila ushahidi na udhibitisho ipo siku ita ugharimu uongozi wa JF.

Kuongea jambo ambalo linaweza kuwa chanzo cha kuchafua brand fulani bila udhibitisho ni kosa kubwa kisheria.
 
Mkuu Azam ungeachana naye maana hutaeleweka... halafu hunA utakachopata. Mtu ana utAjiri wa trillions huko wakati wewe hata milioni mbili cash huna... Unakuja kuleta porojo.....kumhusu.. umekula lakini..
😂😂😂😂😂😂Huu umaskini mkuu ni mbaya sana
 
Nlishawahi kusoma na kuzungumzia kuhusuana na maziwa ya Azam. Watu wakaja leta ushabiki sana na ushabiki wa kipumbavu tu wa kidini n.k wanaokufa au kuathirika ni hawa hawa maskini. Matajiri hawanunui bidhaa poor kama za Azam.

Ukiangalia juice za maembe za Azam unaweza kuta zipo kama aina mbili moja rangi inakuwa inaenda kwenye weusi nyingine ina mng'ao but pia si pure maembe.

Msikilizeni zaidi jamaa akielezea upande wa Juice za Embe. Mimi kwa sasa natumia Juice ya Ukwaju angalau najua hii hawezi chakachua sana.

Tuambiane tu ukweli... Tusioneane haya kwa misingi ya huyu ni mwenzetu. Products nyingi za Azam ni very poor. Hata hizi Energy drinks za Azam na Mo si za viwango. Zinaharibu sana vijana kwa nguvu za kiume. Hasa boda boda.

View attachment 2505658
Huwezi kutoa hoja mpak ulete nguvu za kiume wew jamaa🤧
 
Mavinywaji mengi tunayoyatumia yana preservatives ,hata maji ya kawaida tu haya ya kwenye machupa.
 
Tangia baresa ajiunge na genge la waharifu kina rostam na gsm basi nikajua tu wazanzibar wametupania kutumaliza wabara
Kama hapo ukute wametoa pesa kwa TBS ila uhalisia hata ukiingia mtandaoni ukasoma utaelewa kuwa husababisha Cancer ya damu.
TBS kwenye utetezi wamesema kuwa ikitumiwa kwa wingi ndo huleta madhara. Ila ukiingia mitandaoni wanasema sodium benzoate haipaswi wekwa kwenye juice ambayo ina matunda yenye vitamin C
 
Huwa sipendi habari za mihemko nachukua muda kufanya uchunguzi mwenye kwa hili nimegundua ni kweli sodium benzoate ikichanganywa na vitamin c(Ascobic acid) kuna uwezekano wa kufanyika chimical reaction sodium benzoate ikavunyika na kupatikana BENZENE plus other products.
Kwa hili TBS wachukue hatua. View attachment 2505835
Anatakiwa apigwe fine, aelekezwe azirudishe kiwandani.

Atuombe msamaha
 
Biashara ya watu hiyo!
kuna watu wanaishi kwa kutegemea hiyo biashara.
sema hivi kama wangekuwa wanamjua muandishi yeye mkosoaji wangesha muondoa kitambo sana.
Tumia muda nenda google
 
Cause ya cancer ni unknown zingine ni assumptions tu.
Leta equation apa tuthibitishe cancer inatokeaje.
Lakini vitamin c ambayo ni ascorbic acid na benzene vinatengenezwa cancer endapo kinywaji kutakua exposed kwenye uv light Kwa muda mrefu. Vipi kama hujaweka juani?

Pia Asante Kwa kutufumbua macho[emoji123][emoji123][emoji123]
Mbona hivyo vinywaji vinakaa sana juan huku vinapouzwa?
 
Acha mihemko jikite kwenye mada jibu hoja kwa hoja otherwise ni utoto
Anaye takiwa kuacha mihemko ni ww na huyo kapuku mwenzio mleta mada mnao zusha mambo bila udhibitisho.

Ukitaka kuleta jambo leteni na ushahidi na udhibitisho wa kitaalamu na sio ukisha shiba makande una kuja kuandika uharo wa kuharibu brand za watu.

Je kuna ndugu yako alisha kufa au kuumwa na madakitari wakakwambia kuwa chanzo chake ni bidhaa ya azam?

Ww kama hutaki kutumia bidhaa za Azam acha kwa binafisi yako na sio kuja humu kuchafua brand za watu.
 
Back
Top Bottom