Tuseme ukweli kuhusiana na Bidhaa za Azam. Kuna mengi tunayanyamazia…

Tuseme ukweli kuhusiana na Bidhaa za Azam. Kuna mengi tunayanyamazia…

Anaye takiwa kuacha mihemko ni ww na huyo kapuku mwenzio mleta mada mnao zusha mambo bila udhibitisho.

Ukitaka kuleta jambo leteni na ushahidi na udhibitisho wa kitaalamu na sio ukisha shiba makande una kuja kuandika uharo wa kuharibu brand za watu.

Je kuna ndugu yako alisha kufa au kuumwa na madakitari wakakwambia kuwa chanzo chake ni bidhaa ya azam?

Ww kama hutaki kutumia bidhaa za Azam acha kwa binafisi yako na sio kuja humu kuchafua brand za watu.
Uthibitisho huo hapo
SmartSelect_20230204-140233_Chrome.jpg
 
Tangia baresa ajiunge na genge la waharifu kina rostam na gsm basi nikajua tu wazanzibar wametupania kutumaliza wabara
Hivi ni lini Rostam na GSM wamezaliwa Zanzibar?

Roho nyeusi ina shida sana
 
Nlishawahi kusoma na kuzungumzia kuhusuana na maziwa ya Azam. Watu wakaja leta ushabiki sana na ushabiki wa kipumbavu tu wa kidini n.k wanaokufa au kuathirika ni hawa hawa maskini. Matajiri hawanunui bidhaa poor kama za Azam.

Ukiangalia juice za maembe za Azam unaweza kuta zipo kama aina mbili moja rangi inakuwa inaenda kwenye weusi nyingine ina mng'ao but pia si pure maembe.

Msikilizeni zaidi jamaa akielezea upande wa Juice za Embe. Mimi kwa sasa natumia Juice ya Ukwaju angalau najua hii hawezi chakachua sana.

Tuambiane tu ukweli... Tusioneane haya kwa misingi ya huyu ni mwenzetu. Products nyingi za Azam ni very poor. Hata hizi Energy drinks za Azam na Mo si za viwango. Zinaharibu sana vijana kwa nguvu za kiume. Hasa boda boda.

View attachment 2505658
Ukweli kuna wakati niliwahi kutumia maziwa ya AZAM hayakunipenda hata kidogo.

Kimsingi AZAM napenda bidhaa zake zitokanazo na mazao ya nafaka. Products zinginezo tumieni nyie ambao mnaweza kuhimili zahama za maudhi madogo madogo
 
sasa wewe kama ualo sema la kweli nenda mahakamani hili ukakutane na wakemia wenzio hapa mbona unapoteza muda wako bahati yako umasikini ungekuwa tajiri washakuwaisha mahakamani kwa kuwachafulia kazi yao lakini wanakuuza tu wakikushitaki utalipa nn?
 
Mkuu Azam ungeachana naye maana hutaeleweka... halafu hunA utakachopata. Mtu ana utAjiri wa trillions huko wakati wewe hata milioni mbili cash huna... Unakuja kuleta porojo.....kumhusu.. umekula lakini..
hehehe huo msumali wa nchi sitta umetua kichwani mwake anasikilizia maumivu
 
Huwa mimi sinywi hizi takataka za huyu bwana, wala hata za viwanda vya soda na bia. Mimi huywa zaidi juice niliyotengeneza mwenyewe kwa maembe, ndizi, tikiti maji, nanasi, fenesi, parachichi, passion fruits, etc. Mnaoona kunywa juice za viwandani ni ujanja, basi endeleeni na ujanja wenu.
wewe mjanja
 
Mabishano hewa ya nini? Si utafiti ufanyike katika watoto wanaokunywa hizo juice wangapi walipata cancer, au katika watoto wanaokua diagnosed na leukemia wangapi walikuwa wanatumia hizo products za azam.. BTW kwa upande wangu huwa sinywi juice aina yoyote nje ya za azam! Na niko nadunda tu mimi na familia yangu zaidi ya miaka 13, sijaona bado kiashiria chochote cha hatari
Subiri matokea utayaona soon as possible

Sent from my Infinix X655 using JamiiForums mobile app
 
Nlishawahi kusoma na kuzungumzia kuhusuana na maziwa ya Azam. Watu wakaja leta ushabiki sana na ushabiki wa kipumbavu tu wa kidini n.k wanaokufa au kuathirika ni hawa hawa maskini. Matajiri hawanunui bidhaa poor kama za Azam.

Ukiangalia juice za maembe za Azam unaweza kuta zipo kama aina mbili moja rangi inakuwa inaenda kwenye weusi nyingine ina mng'ao but pia si pure maembe.

Msikilizeni zaidi jamaa akielezea upande wa Juice za Embe. Mimi kwa sasa natumia Juice ya Ukwaju angalau najua hii hawezi chakachua sana.

Tuambiane tu ukweli... Tusioneane haya kwa misingi ya huyu ni mwenzetu. Products nyingi za Azam ni very poor. Hata hizi Energy drinks za Azam na Mo si za viwango. Zinaharibu sana vijana kwa nguvu za kiume. Hasa boda boda.

View attachment 2505658

Nyie mnaona madhara kwenye vinywaji ambavyo ni watu wachache wanaovitumia, vipi zile dawa wanazoziita virutubisho (fortifications) zinazowekwa kwenye Sembe, Ngano na mafuta ya kula, vitu ambavyo kila Mtz hutumia, je hizo dawa ni virutubisho kweli na ni utafiti gani umefanyika na umefanywa na nani??, je tangu dawa hizo zianze kuwekwa kwenye hivyo vyakula ni kwa namna na kiwango gani afya za Watz zimeimarika??

Sijui kama kuna chombo chochote kinachohusika (TBS?) KInaweza kujitokeza kujibu hayo maswali.

"Tunajinunulia sumu bila kujua"
 
Ukweli kuna wakati niliwahi kutumia maziwa ya AZAM hayakunipenda hata kidogo.

Kimsingi AZAM napenda bidhaa zake zitokanazo na mazao ya nafaka. Products zinginezo tumieni nyie ambao mnaweza kuhimili zahama za maudhi madogo madogo
Hivi baresa anangombe kweli au

Asas tunajuwa wana ngombe wengi wa maziwa

Ova
 
Nanukuu "8 Heri mwisho wa neno kuliko mwanzo wake,
Na mvumilivu rohoni kuliko mwenye roho ya kiburi.
9 Usifanye haraka kukasirika rohoni mwako,
Maana hasira hukaa kifuani mwa wapumbavu
".
Hile neno ndo umelifaham sasa eeeeeh .....leta tena shobo nakuchapa tu mi sicheck na hasara kama nyie.
 
Cause ya cancer ni unknown zingine ni assumptions tu.
Leta equation apa tuthibitishe cancer inatokeaje.
Lakini vitamin c ambayo ni ascorbic acid na benzene vinatengenezwa cancer endapo kinywaji kutakua exposed kwenye uv light Kwa muda mrefu. Vipi kama hujaweka juani?

Pia Asante Kwa kutufumbua macho💪💪💪
Hata ugali wa dona nasikia unaleta kansa, sababu ya aflatoxin inakua juu sana, kuliko sembe😂,
Sidhani hata maji kama yako salama, due to pollution..
 
We nae acha kiherehere brand brand ya nyoko ,acha kuwa chawa utakufa miguu juu, kwa iyo unataja mtu atangaze kisa cha kifo ni azam elimika na usome uelewe kichwa tope ww

Sent from my Infinix X655 using JamiiForums mobile app
Usinipayukie mm huo umasikini wako haujasababishwa na mm bali umesababishwa na ujinga wako wa kutegemea udangaji kuishi mjini.

Leta udhibitisho wa kitaalamu kutoka kwenye vyombo vya kitaalamu vyenye dhamana ndani ya nchi ili kudhibitisha hayo madai yenu ya kipumbavu.

Bidhaa za Azam zinatumika kwenye nchi zote za Afrika mashariki na kati unataka kuniambia serikali zote hizo zisione madhara ya hizo bidhaa za Azam ila hayo madhara uyaone ww malaya wa bei rahisi kutoka sinza unaye subiri uliwe kwa sh 2000 ndo upate kula yako ya siku.
 
Back
Top Bottom