Tuseme ukweli kuhusiana na Bidhaa za Azam. Kuna mengi tunayanyamazia…

Tuseme ukweli kuhusiana na Bidhaa za Azam. Kuna mengi tunayanyamazia…

Anaye takiwa kuacha mihemko ni ww na huyo kapuku mwenzio mleta mada mnao zusha mambo bila udhibitisho.

Ukitaka kuleta jambo leteni na ushahidi na udhibitisho wa kitaalamu na sio ukisha shiba makande una kuja kuandika uharo wa kuharibu brand za watu.

Je kuna ndugu yako alisha kufa au kuumwa na madakitari wakakwambia kuwa chanzo chake ni bidhaa ya azam?

Ww kama hutaki kutumia bidhaa za Azam acha kwa binafisi yako na sio kuja humu kuchafua brand za watu.
Ww jamaa unapayuka tu humu ndani
 
Mara ya mwisho kunywa maji ya Uhai ni zaidi ya miaka 8 iliyopita. Mara ya mwisho nilivyokunywa hayo maji nilikuwa natembea naharisha harisha tu barabarani kama kwa siku 3 hivi. Nikasema sigusi haya maji tena.
 
Mabishano hewa ya nini? Si utafiti ufanyike katika watoto wanaokunywa hizo juice wangapi walipata cancer, au katika watoto wanaokua diagnosed na leukemia wangapi walikuwa wanatumia hizo products za azam.. BTW kwa upande wangu huwa sinywi juice aina yoyote nje ya za azam! Na niko nadunda tu mimi na familia yangu zaidi ya miaka 13, sijaona bado kiashiria chochote cha hatari
 
Cause ya cancer ni unknown zingine ni assumptions tu.
Leta equation apa tuthibitishe cancer inatokeaje.
Lakini vitamin c ambayo ni ascorbic acid na benzene vinatengenezwa cancer endapo kinywaji kutakua exposed kwenye uv light Kwa muda mrefu. Vipi kama hujaweka juani?

Pia Asante Kwa kutufumbua macho[emoji123][emoji123][emoji123]

Duuh noma
 
Kunyweni mchuzi wa matembele na mchicha Kisha unashushia na juice ya karoti ama ubuyuuu kutoka dodoma
 
Mara ya mwisho kunywa maji ya Uhai ni zaidi ya miaka 8 iliyopita. Mara ya mwisho nilivyokunywa hayo maji nilikuwa natembea naharisha harisha tu barabarani kama kwa siku 3 hivi. Nikasema sigusi haya maji tena.
Si bure kuna shida mahali huenda nati zimelegea kitambo
 
Nlishawahi kusoma na kuzungumzia kuhusuana na maziwa ya Azam. Watu wakaja leta ushabiki sana na ushabiki wa kipumbavu tu wa kidini n.k wanaokufa au kuathirika ni hawa hawa maskini. Matajiri hawanunui bidhaa poor kama za Azam.

Ukiangalia juice za maembe za Azam unaweza kuta zipo kama aina mbili moja rangi inakuwa inaenda kwenye weusi nyingine ina mng'ao but pia si pure maembe.

Msikilizeni zaidi jamaa akielezea upande wa Juice za Embe. Mimi kwa sasa natumia Juice ya Ukwaju angalau najua hii hawezi chakachua sana.

Tuambiane tu ukweli... Tusioneane haya kwa misingi ya huyu ni mwenzetu. Products nyingi za Azam ni very poor. Hata hizi Energy drinks za Azam na Mo si za viwango. Zinaharibu sana vijana kwa nguvu za kiume. Hasa boda boda.

View attachment 2505658
Huyu jamaa anaongea ukweli awamu moja alikosea kuhusu Azam energy na kweli yakatokea mabadiliko, je nani anafanya uhuni huko kwenye viwanda vya Azam? Hii jeuri wanaipata wapi?
 
Mabishano hewa ya nini? Si utafiti ufanyike katika watoto wanaokunywa hizo juice wangapi walipata cancer, au katika watoto wanaokua diagnosed na leukemia wangapi walikuwa wanatumia hizo products za azam.. BTW kwa upande wangu huwa sinywi juice aina yoyote nje ya za azam! Na niko nadunda tu mimi na familia yangu zaidi ya miaka 13, sijaona bado kiashiria chochote cha hatari
Utakuja kusanuka tayari ugonjwa ushakuwa sugu,,shauri yako.
 
Mkuu Azam ungeachana naye maana hutaeleweka... halafu hunA utakachopata. Mtu ana utAjiri wa trillions huko wakati wewe hata milioni mbili cash huna... Unakuja kuleta porojo.....kumhusu.. umekula lakini..
Ungemshukuru tu hata kwa taarifa,unaongea kama huna ndugu wanatumia baadhi ya bidhaa za azam
 
Back
Top Bottom