Tuseme ukweli kuhusu Yanga na TFF

Tuseme ukweli kuhusu Yanga na TFF

Shida ni ULIMBUKENI umetawala sana
Mtu ana ng'ang'ania aambiwe eti sababu ya mchezo kusogezwa muda
Wadau wa mpira lzm mtambue kuna fIfa, kuna Tff on top of that kuna MAMLAKA YA NCHI ambayo ipo responsible kwa maswala yote ya nchi yake ..
Na sio lazima serikali ikwambie sababu ya maamuzi yake pale inapobidi

Kwan hao yanga wao wangecheza saa 1usiku wangepungukiwa na nini ?
 
Waliofanya mechi isogezwe mbele ni wale waliokimbia uwanjani basi likienda spidi 120 kuwahi saloon ya mama Kimbo.
Waratah mdogo sana wa Yanga unelectable magazeti ya Simba, bodi ya ligi, TFF, Waziri na PM. Wote hawa, hawana hoja ya kuijibu Yanga.
Sasa wanaogopa FIFA na kusema sababu za kiusalama.
 
Waziri aliyetoa maelekezo ni uto ,mnajifanya hamjui nini kinaendelea ila ukweli ni kwamba,mlikimbia aibu.
Timu linasajili kwa pesa halafu linaishi kwa maelekezo ya kichawi badala ya kucheza mpira
Waratah mdogo sana wa Yanga unelectable magazeti ya Simba, bodi ya ligi, TFF, Waziri na PM. Wote hawa, hawana hoja ya kuijibu Yanga.
Sasa wanaogopa FIFA na kusema sababu za kiusalama.
 
Sasa mbona kila siku mathread kibao yote yaanzishwa na masimba yasiyojielewa, kwani aliyesema yanga na tff wana mgogoro ni nani kwanini msimuulize yeye awaeleze vizuri kuhusu huo mgogoro
Utopolo mwenzenu waziri wa michezo
 
Hiyo ni mbinu ya viongozi wa Yanga ya kujikinga dhidi ya lawama za mashabiki.

Yanga Wana wachezaji wa kawaida Sana,wajiulize mfungaji wao ana magori mangapi,anayepiga pasi za mwisho kapiga ngapi.Simba inatoa wachezaji 3 Kati ya 10 kwenye ufungaji bora wa ligi.Chama na Luis Wana assist za kumwaga.

Onyango na Mohamed Hussein Wana magoli mengi kuliko washambuliaji wa Yanga.

Ukisema Simba inapendelewa na TFF basi hata CAF wanaipendelea.Tatizo la Yanga Wana viongozi wengi (Kila kiongozi ana ndevu kama ukoo wa kambale)tofauti na Simba yenye mtu mmoja kwenye sauti.

Msimu huu watakosa ubingwa halafu watafanya mabadiliko makubwa ya wachezaji na msimu ujao hawatakuwa na timu imara, watafanya vibaya na wataendelea kuilaumu TFF.
Waseme ukweli wachezaji wao tegemezi walikuwa majeruhi
 
Hakuna aliyefikiri kuwa nyuma yake kuna mkono wa mwanayanga ambaye ametumia dhamana aliyonayo serikalini kuwapa maelekezo TFF.
Wewe na wenzio mmeshindwa pia kufikiri labda kuna mwanaSimba alifanya vile akijua Yanga watareact tu ili mechi isipigwe na Simba waepuke potential injuries ili wasidhurike na mechi ya kimataifa

Wewe hujafikiri labda kuna mwanasiasa alitaka awepo uwanjani na wakati huohuo anaitamani iftar ya Mama Samia

You need to think objectively na sio upande mmoja tu
 
Watajielewa tutakapochukua tena kombe msimu ujao, wewe waache usiwashtue waendelee kuamini timu yao iko vzuri ila inaonewa
 
Waziri aliyetoa maelekezo ni uto ,mnajifanya hamjui nini kinaendelea ila ukweli ni kwamba,mlikimbia aibu.
Timu linasajili kwa pesa halafu linaishi kwa maelekezo ya kichawi badala ya kucheza mpira
Aliyetoa maelekezo ni PM wenu ambaye ni Utelembwe. Ndiye aliyemuweka Karia hapo TFF hilo halina siri.
 
Moja ya malalamiko ya Yanga ni pending cases kibao ambazo tff na kamati zake wamekumbatia kwa muda mrefu bila kuzitolea maamuzi.
 
Malalamiko kwa Yanga ni kawaida sana.

Washalalamikia makocha wao tofauti tofauti na wakawafukuzwa.

Washawalalamikia viongozi wao.

Washawalalamikia wachezaji wao.

Washawalalamikia TFF.

Washawalalamikia body ya ligi.

Washawalalamikia Simba.

Washamlalamikia Haji Manara n,k.
Usisahau na wale walioiandikia TFF wakitaka wapewe points tatu za mezani na Yanga ishushwe daraja.

Sent from my TECNO K7 using JamiiForums mobile app
 
Zipi?Na walizoenda CAS bado zipo pending?
Moja ya malalamiko ya Yanga ni pending cases kibao ambazo tff na kamati zake wamekumbatia kwa muda mrefu bila kuzitolea maamuzi.
 
Back
Top Bottom