Kama sio watanganyika waonyeshe ushahidiTuseme ukweli maandamano ya chaguzi ni vijana wetu na wala sio wakenya. Hatuwezi kuishi maisha au kubadilika kama tunaficha ukweli ambao upo wazi. Ukificha moto moshi utakuumbua
Alisema yametimia
Kama sio watanganyika waonyeshe ushahidi
Na kama sio watanzania bas hakuna mtanzania aliyekufa wote ni vijana waalifu wa nchi jiranTuseme ukweli maandamano ya chaguzi ni vijana wetu na wala sio wakenya. Hatuwezi kuishi maisha au kubadilika kama tunaficha ukweli ambao upo wazi. Ukificha moto moshi utakuumbua
Alisema yametimia
Yale hayakuwa maandamano bali uharibifu, wizi na ukichaa tuTuseme ukweli maandamano ya chaguzi ni vijana wetu na wala sio wakenya. Hatuwezi kuishi maisha au kubadilika kama tunaficha ukweli ambao upo wazi. Ukificha moto moshi utakuumbua
Alisema yametimia
Kama sio watanzania hatutarajii kuona misiba mtaani wala maombolezo. Wazikwe na halmashauri.Kama sio watanganyika waonyeshe ushahidi
Je, kulikuwa na uchaguzi halali au uhuni, wizi, utapeli na mauaji tuu?Yale hayakuwa maandamano bali uharibifu, wizi na ukichaa tu
Ni uongo, propaganda.Tuseme ukweli maandamano ya Uchaguzi ni vijana wetu siyo kutoka nje nchi
Si wanatuona sisi ni mburura kama wao.Tuseme ukweli maandamano ya chaguzi ni vijana wetu na wala siyo wakutoka nje ya nchi. Hatuwezi kuishi maisha au kubadilika kama tunaficha ukweli ambao upo wazi. Ukificha moto moshi utakuumbua
Alisema yametimia
Kwa mujibu wz sensa ya mwaka mwisho hapo ni watu wote wa 18+ yrs walipiga kura. Huu uchakachuaji ni wa kuingizwa kwenye rekodi za guinnessInasikitisha kiongozi mkuu kudanganywa vitu vyepesi namna hiyo, sawa na ile kuambiwa amepigiwa kura ml 31 halafu anachekelea kumbe watu waelewa wanamchora tu!.
Na kama sio watanzania waseme ni wa nchi gani.Kama sio watanganyika waonyeshe ushahidi
Inasikitisha kiongozi mkuu kudanganywa vitu vyepesi namna hiyo, sawa na ile kuambiwa amepigiwa kura ml 31 halafu anachekelea kumbe watu waelewa wanamchora tu!.
Kenyans Among Hundreds Killed in Tanzania’s Post-Election Violence - Kenyans.co.ke Kenyans Among Hundreds Killed in Tanzania’s Post-Election ViolenceNi uongo, propaganda.
Wote ni Watanzania